Daily Archives: February 15, 2017

Diamond Afungukia Ishu Yake ya Kuripoti Po...

Post Image

Msanii Diamond ameelezea kile kilitokea baada ya picha  kusambaa  zinazomwonyesha akihojiwa na jeshi la polisi. Muimbaji huyo amedai alienda polisi kujieleza kwa jeshi la usalama barabarani baada ya jeshi hilo kudaka clip yake ya video inayomwonyesha aliendesha gari huku akiwa hajavaa mkanda. Diamond ametoa taarifa hii kupitia ukurasa wake wa instagram Leo nilireport kituo kikuu […]

Read More..

Irene Uwoya Kujikita Kwenye Tamthilia, Fila...

Post Image

Staa wa Bongo Movie, Irene Uwoya siku ya jana Februari 14, aliandaa party kubwa Club Next Door, Masaki kusherekea siku ya wapendanao duniani (Valentines Day) pamoja na mastaa wengine na mashabiki wake. Global TV Online ilipewa mualiko wa kuhudhuria party hiyo pamoja na kupata exclusive kutoka kwa Irene Uwoya mwenyewe ambaye alishare na sisi mipango […]

Read More..

Diva wa Clouds FM Afunguka Kumtamani Alikib...

Post Image

Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Diva The Bosslady amefunguka kwa kudai kuwa katika mastaa wa muziki Alikiba ndiye msanii ambaye anatamani kudate naye. Diva ambaye kwa sasa anatoka kimapenzi na muimbaji Heri Muziki, alikuwa host wa show ya Valentine’s Day iliyofanyika Jumatano hii katika ukumbi wa Next Door na kuhudhuriwa […]

Read More..

Sakata la Madawa ya Kulevya: Masogange Adai...

Post Image

Taarifa zinadai kuwa mrembo Agnes ‘Masogange’ Gerald amekamatwa na polisi usiku wa kumkia leo, ikiwa ni sehemu ya msako wa watu wanaohusishwa na biashara ya dawa za kulevya.   Kwa mujibu wa Jamii Forums, Masogange anashikiliwa kwenye kituo kikuu cha polisi jijini Dar es Salaam. Mrembo huyo anakuwa staa mpya kuingizwa kwenye orodha ya mastaa […]

Read More..

Wastara Amchimba Mkwara Mpenzi Wake, Bond

Post Image

Msanii wa bongo movie Wastara amemchana mpenzi wake wa sasa Bond kwamba asipojirekebisha baadhi ya tabia zake atamuacha na akimwacha hatarudi tena kwake. Hata hivyo Wastara amesema anaweza kuvumilia shida anazopata kwa Bond lakini anaweza kumuacha muda wowote kwani hahitaji ‘stress’ za kimapenzi huku akiweka wazi kuwa amejitahidi na amefanikiwa kumrekebisha kwa 80 % na endapo ataendelea na […]

Read More..

Aunt Ezekiel Atoboa Kitu Kinachomuumiza Kwe...

Post Image

Msanii wa filamu ambaye ni mama wa mtoto mmoja, Aunt Ezekiel katika usiku wa siku ya wapendanao alifunguka na kuzungumzia kitu ambacho kilimuuza katika mahusiano yake na Mose Iyobo. Akiongea na Bongo5 usiku wa jana katika show ya Valentine’s Day iliyoandaliwa na Irene Uwoya, Aunt amedai kitu ambacho kilikuwa kinamsumbua ni kuambiwa anatoka na mkata […]

Read More..