-->

Daily Archives: March 4, 2017

Aunt Ezekiel: Huu Ndio Wakati Wangu wa Kupa...

Post Image

MSANII wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amedai kwamba anatamani kupata watoto zaidi kwa kuwa huu ndio wakati wake wa kufanya hivyo na hajui atapata watoto wangapi katika maisha yake. Aunt Ezekiel ambaye yupo kwenye uhusiano na dansa wa msanii Diamond Platnumz, Mose Iyobo, amesema kwa kuwa ndio wakati wake wa kufanya maamuzi sahihi na […]

Read More..

VIDEO: Sina Mpango wa Kubadili Jina –...

Post Image

Msanii wa Rap Harmorapa aliyepata umaarufu mkubwa baada ya kufananishwa na msanii kutoka kundi la WCB Hamonize amesema hana mpango wa kubadilisha jina lake “labda iongezeke a.k.a tu”. Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Hamorapa amesema maneno ya watu kuwa ameamua kujiweka upande wa Alikiba ingawa ameshindwa kujizuia kuonesha mahaba yake kwa msanii huyo. “Mi sijali watu […]

Read More..

Nyumba ya Gwajima Yapigwa Picha

Post Image

Dar es Salaam. Wakili Peter Kibatala amesema polisi wamepiga picha nyumbani kwa Askofu wa Kanisa la Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima. Kibatala ambaye ni wakili wa Askofu Gwajima amesema jana kuwa mbali na kupekuwa na kupiga picha kila kona walikwenda katika kanisa lake lililopo Ubungo. “Waache wafanye yao na sisi […]

Read More..

Tanzanite: Diamond Bado Ananichukia Hadi Le...

Post Image

Kukumbusha tu Tanzanite alipata jina miaka kadhaa iliyopita baada ya kuurudia wimbo wa Diamond, Mbagala na kudai ulikuwa wake huku pia baadaye akimtuhumu kumroga. Shutuma hizo zilimkera sana Diamond. Tanzanite amedai kuwa hadi leo Diamond Platnumz anamchukia. “Nakutanaga naye [Diamond] lakini si mtu ambaye labda ananipa ushirikiano,” Tanzanite ameiambia Bongo5. Muimbaji huyo amedai kuwa ugomvi […]

Read More..

Lulu Afungukia Kuhusu na Siasa na Wasanii

Post Image

ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anajivunia uamuzi wake wa kutojihusisha na siasa maana amepata amani ya moyo kuliko wasanii wenzake ambao kwa sasa  wapo kwenye malumbano ya kisiasa. Mrembo huyo ambaye ni mkali wa sinema za Kibongo, alisema, wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Mwaka 2015, watu wengi walikuwa walikuwa hawamuelewi lakini ukweli ni kwamba […]

Read More..