-->

Daily Archives: March 8, 2017

DUMA: Ninayo Siri ya Kuikomboa Bongo Muvi

Post Image

MSANII wa filamu anayepanda kwa kasi Bongo, Daud Michael ‘Duma,’ amesema anaifahamu siri inayowafelisha wasanii wengi Bongo siku hadi siku kiasi kwamba kwa sasa tasnia ya filamu inaonekana kupoteza mvuto. Akipiga stori na Uwazi Showbiz , Duma ambaye muda mwingi anapenda kuutumia kufanya mazoezi ya kazi zake za filamu, alifunguka kuwa kinachowafelisha wasanii wengi wa […]

Read More..

Ajiua Baada ya Kukamatwa na Viroba

Post Image

Mfanyabiashara na muagizaji wa pombe za viroba, Festo Mselia, amekutwa amejiua kwa kujipiga risasi ikiwa ni siku moja baada ya jeshi la polisi kuendesha msako na kukamata shehena ya pombe katika ghala alililokuwa akilimiki mjini Dodoma. Katika vita ya kupambana na matumizi ya pombe za vifungashio aina ya viroba vilivyopigwa marufuku, jeshi la polisi mkoa […]

Read More..

Alikiba Afungukia Tetesi za Kufanya ‘...

Post Image

Muimbaji mahiri wa muziki Alikiba amefunguka kwa kukanusha taarifa ambazo zilizagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ana mpango wa kufanya kolabo na Justin Bieber. Akiongea na mtangazaji wa JEMBE FM JJ akiwa Las Vegas Marekani, Alikiba alidai taarifa za kwamba ana mpango wa kufanya kolabo zitungwa na mashabiki wake wa muziki. “Ni mashabiki waliamua kuzusha, […]

Read More..

Sakata la Madawa: Vanessa Mdee Akamatwa na ...

Post Image

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia mwanamuziki Vanessa Mdee maarufu Vee Money kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya. Akizunguzumzia taarifa hiyo, Mwanasheria wa mwanamuziki huyo, Amin Tenga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema kuwa Vanessa alijisalimisha mwenyewe katika kituo cha polisi kama alivyoagizwa na Mkuu […]

Read More..

Wema Afanya Jambo,Siku ya Wanawake Duniani

Post Image

Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ameshiriki kwa kupanda miti katika vyanzo vya maji vya Mbogo na Nukutu katika milima ya Uluguru, Manispaa ya Morogoro. Wema aliyeungana na Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Morogoro kupitia CHADEMA, Devotha Minja, Diwani wa kata hiyo pamoja na wenyeviti wa serikali za mitaa, […]

Read More..

Morogoro: Wakuu wa Shule za Msingi Zilizofa...

Post Image

Walimu wakuu wa shule za msingi Magunga na Lubanta, Wilaya ya Mvomero zilizofanya vibaya kwenye mtihani wa darasa la saba mwaka jana, wamekabidhiwa kinyago. Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mohamed Utaly alikabidhi kinyago hicho katika tukio lililoshuhudiwa na walimu wakuu wa shule za msingi na waratibu elimu kata wa wilaya hiyo, shule hizo zitakaa na […]

Read More..

VIDEO: Faiza Ally Asimulia Mkasa Uliopeleke...

Post Image

Muigizaji wa Bongo Movie, Faiza Ally ukipenda muite mama Sasha,kupitia ukurasa wake kwenyemtandao wa instagram ameweka video hii akisimulia mkasa uliosababisha kulala lupango kwa siku moja. Msikiize hapa  

Read More..