-->

Daily Archives: March 9, 2017

Shilole Afunguka Kuhusu Ujauzito

Post Image

Msanii filamu na muziki wa bongo fleva, Shilole amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye hana ujauzito wowote bali ameridhika na maisha jambo ambalo limefanya aongezeke mwili na kunenepa licha ya watu kuwa na hisia kuwa huenda ana ujauzito. Shilole amesema hayo alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha 5SELEKT kinachorushwa kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia […]

Read More..

Pasha Ateseka na Penzi la Snura

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva, Khaji Mtepa ‘Pasha’ aliyewahi kutamba na Nyimbo za  Thamani ya Penzi, Umeniweza, Hidaya, Ni Soo na nyingine kibao amefungukia mateso makubwa anayoyapata juu ya penzi la msanii mwenzake, Snura Mushi. Akizungumza na safu hii katika mahojiano maalum, Pasha alifunguka kuhusu maisha yake ya muziki, kawaida, uhusiano na mikakati yake mipya kimuziki. […]

Read More..

Video: Mdogo Wake Gwajima Amtetea Makonda, ...

Post Image

Mdogo wake na mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima, amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza kwenye malumbano na mipasho ya kidunia. Ameendelea kusema vyeti vya Makonda viachiwe mamlaka husika kuchunguza kwani kumuandama sana inaweza kusababisha watu wengine siku zijazo kuogopa kujihusisha kupambana […]

Read More..

VIDEO: Nimeanza Kusumbuliwa na Mabinti R...

Post Image

Rapa anayechipukia kwenye muziki wa hip hop, Harmorapa amefunguka na kusema toka amepata jina amekuwa akipata usumbufu sana kutoka kwa watu wake wa kawaida pamoja na mabinti. Akiongea na EATV Harmorapa ameweka wazi kuwa sasa hivi amekuwa akipata usumbufu mkubwa kutoka kwa mabinti mbalimbali. eatv.tv

Read More..

Irene Uwoya: Mwanamke Anastahili Heshima

Post Image

MSANII wa filamu nchini, Irene Uwoya, amesema mwanamke anastahili heshima ya hali ya juu kwani amekuwa ni nguzo ya familia na mafanikio katika jamii inayomzunguka. Akizungumza na MTANZANIA jana, alisema katika kila familia iliyoweza kupata mafanikio, lazima mwanamke atakuwa amehusika. Alisema kwenye maisha yake amekuwa akifanya kazi kwa nguvu zote bila ya kujali kuwa yeye […]

Read More..