-->

Daily Archives: March 14, 2017

Ujumbe wa Prof Jay kwa Wasanii Waliotaka Ak...

Post Image

Mbunge wa Jimbo la Mikumi kupitia CHADEMA ambaye pia ni msanii wa ‘hip hop’, Joseph Haule (Profesa Jay) amesema hana kinyongo na wasanii wote na wote waliokwenda jimboni kwake kipindi cha uchaguzi oktoba 25, 2015 kwa ajili ya kumpinga. Msanii huyo kupitia ukurasa wake wa kijamii instagram ameandika maneno machache yanawagusa moja kwa moja wasanii wenzake waliokuwa […]

Read More..

Irene Uwoya Aeleza Alivyoshuhudia Ajali Mba...

Post Image

Mwanadada Irene Uwoya ambaye anafanya poa kwenye tasnia ya filamu Bongo, kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameeleza jinsi alivyoshuhudia dereva wa bodaboda akigongwa na gari na dereva inayedaiwa kuwa ni Mzungu, na kuachwa barabarani kwa muda mrefu, mpaka pale msanii huyo alipoamua kumsaidia kwa kumkimbiza hospitali. Uwoya ameeleza kwamba jana majira ya usiku, akiwa anarejea […]

Read More..

VIDEO: Nlichoigiza Ndani ya Filamu ya Kiume...

Post Image

Msanii wa vichekesho Idris Sultan amefunguka kwa kudai kuwa uhusika aliouvaa ndani ya filamu ya ‘Kiumeni’ ya Ernest Napoleon ni vitu ambavyo viliwahi kumtokea katika maisha yake. Filamu hiyo ambayo imewakutanisha mastaa mbalimbali wa filamu itaonyeshwa kwa mara ya kwanza Jumatano hii Century Cinemax, Mlimani City jijini Dar es salaam. Akiongea na waandishi wa habari […]

Read More..

VIDEO: Sirro Akoleza Moto Wakazi wa Mabonde...

Post Image

Dar es Salaam: Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema watu wote wanaoishi mabondeni watoke mara moja kwa sababu kufanya hivyo ni kuhatarisha maisha na ambaye hatafanya hivyo atakamatwa. Akizungumza na waandishi wa habari leo (Jumanne), Sirro amesema tayari amewaagiza Ma OCD na wakuu wa upelelezi kuanza oparesheni hiyo mara […]

Read More..

Harmorapa Afungukia Mjengo Wake Mpya

Post Image

Msanii Harmorapa ambaye haishi kwa kiki mjini ameibuka na jambo jipya kwa kusema amenunuliwa nyumba kali ya kuishi maeneo ya mikocheni Jijini Dar es Salaam na uongozi wake unaomsimamia kazi zake. Chipukizi huyo alisema mpaka sasa hajafahamu kiasi kilichogharimu kutumiwa katika kununuliwa nyumba hiyo kwa kuwa yeye amepewa kama zawadi. “Yaah nimenunuliwa nyumba maeneno ya […]

Read More..

Rose Muhando Asakwa Apelekwe Soba

Post Image

DAR ES SALAAM: Taarifa mbaya ya kusikitisha kutoka kwa staa wa nyimbo za Injili, Rose Muhando zinadai kuwa, mwimbaji huyo anasakwa na uongozi wa Sober House ya Pederef ili waweze kumwokoa kwenye matumizi ya madawa ya kulevya ‘unga’. Chanzo kilicho karibu na mwanamama huyo ambaye amejijengea jina kubwa kupitia nyimbo zake nzuri kama Nibebe, kimeeleza […]

Read More..

Huko Kwenye filamu za Kibongo Hakukaliki

Post Image

FILAMU za Kibongo kwa sasa zimedorora sana. Takriban miaka miwili hali ya soko la filamu hizo imekuwa ikisuasua, lakini kwa 2017 limedorora kwa kiwango kikubwa kiasi kwamba hata wasanii wake wanaishi kwa kubangaiza. Kipato kupitia tasnia hiyo kimekuwa muhali, kiasi cha kuleta mashaka makubwa kwa baadhi ya wasanii wakiamua kubadilisha upepo ili kupisha jinamizi lililopo […]

Read More..

Bond Afungukia Kukamatwa Kwake

Post Image

Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Bond Bin Suleiman, amefungukia kukamatwa kwake kwenye ishu ya ujambazi na kudai kuwa aliponzwa na rafi ki yake aliyekuwa hafahamu anajishughulisha na kazi gani. Akizungumza na Wikienda, Bond alisema kuwa, yeye ni msanii na anakutana na watu wengi kama ilivyo kwa wasanii na kilichomkuta kinaweza kumkuta msanii yeyote kwani hukutana […]

Read More..

JK Ateua Tisa Kusimamia Bodi ya Taasisi Yak...

Post Image

Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete amechagua na kuwataja wajumbe tisa wa Bodi ya wadhamini wa Taasisi ya Mfuko wa maendeleo ya Jakaya Kikwete (JMKF). Aliwachagua wajumbe hao wakati akizindua bodi ya wadhamini wa Taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam. Amewataja wajumbe wa bodi hiyo kuwa ni pamoja na Balozi Ombeni Sefue, Profesa […]

Read More..

VIDEO: Ilinikushirikishe Nionyeshe Uwezo &#...

Post Image

Msanii Diamond Platnum anasema toka ameanza kufanya muziki ameweza kufanya kazi na wasanii wengi lakini anadai ili akushirikishe kwenye wimbo wake lazima umuonyesha sababu, hata kama upo chini ya uongozi wake haiwezi kuwa sababu yeye kukupa shavu. Diamond Platnumz alisema hayo kwenye kipindi cha ‘Ngaz kwa Ngaz’ kinachorushwa na ting’a namba moja kwa vijana EATV […]

Read More..