-->

Daily Archives: March 24, 2017

Nahitaji Demu Mzuri Anagonga Ngeri Sana- Id...

Post Image

IDRIS Sultan mwigizaji na mchekeshaji katika tasnia ya filamu Bongo amefunguka kwa kusema kuwa anahitaji mwanamke ambaye atamuoa, sifa ya kwanza awe mzuri sana awe na tabia nzuri hasa ya kuwapenda watoto kwani yeye anapenda Watoto zaidi. “Siku hizi mambo ya kidigitali mambo yanakuwa wazi tu, binafsi nampenda mwanamke mwenye sifa hizi awe na akili, […]

Read More..

Ikulu Yakanusha Taarifa ya Serikali Kufuta ...

Post Image

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Ikulu, Gerson Msigwa ameikanusha taarifa inayosambaa ikionyesha kuwa serikali inatishia kuifuta mitandao ya kijamii. Taarifa hiyo iliyoonyesha imeandaliwa na Ikulu, ilieleza kuwa serikali haitasita kuifuta mitandao ya kijamii iwapo itabaini kuwa yote yanayoendelea hayana tija. “Serikali inafuatilia kwa karibu yote yanayoendelea kwenye mitandao ya […]

Read More..

Filamu za Kibongo Kuanza Kuuzwa Nchini Chin...

Post Image

Wasanii wa filamu za kibongo wamepewa fursa ya kuanza kuuza filamu zao nchini China ambao sasa zitakuwa zikitafsiriwa kwa lugha ya nchi hiyo kama ambavyo Rufufu amekuwa akitafsiri za kwao hapa nchini. Aliyekuwa Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni, Nape Nnauye aliwaombea wasanii hao kwa serikali ya China ambapo maombi hayo yalipokewa kwa mikono […]

Read More..

Harmorapa Afungukia Kilichomtoa Mbio kwa Na...

Post Image

Msanii asiyekaukiwa ‘kiki’ katika ulingo wa sanaa ya Bongo, Harmorapa amesimulia kilichomkuta alipokwenda kumuona aliyekuwa Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye kiasi cha kutoka mbio za aina yake, baada ya kuona bastola. Harmorapa ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake inayokwenda kwa jina la ‘Kiboko ya Mabishoo’ aliyomshirikisha Juma Nature, amesema kilichomfanya aende katika […]

Read More..

Diamond, Belle9 Wambeba Saida Kalori

Post Image

WASANII wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Abednego Damian ‘Belle9’ wamembeba msanii mwenzao anayeimba nyimbo za asili, Saida Kalori kwa kushiriki katika albamu yake itakayoitwa Naamka. Akilonga na Showbiz, Saida aliyewahi kutamba na Wimbo wa Chambua Kama Karanga ‘Maria Salome’ alisema kuwa anamshukuru Mungu amerudi tena kwenye gemu na wasanii hao wamempa […]

Read More..