-->

Daily Archives: March 25, 2017

Askofu Gwajima Awavuta Stan Bakora na Kital...

Post Image

Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima Ministries, Josephat Gwajima amesema Jumapili hii atatembelewa na wachekeshaji Kitale ‘Mkudesimba’ pamoja na Stan Bakora. Gwajima amekuwa akitamka mara kadhaa kwamba anavutiwa na wachekeshaji hao ambao wamekuwa maarufu kutokana na vichesho vyao ambavyo vilikuwa vinarushwa kupitia redio ya EFM. Jumamosi hii mchungaji huyo ambaye amekuwa akizuru katika vituo […]

Read More..

Shilole: Nikichemka Muziki, Nakuwa Mama Lis...

Post Image

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameibuka na kusema kuwa endapo itatokea muziki ukambumia atageukia kazi ya mama ntilie ‘mama lishe’ kwa sababu anaipenda na iko kwenye damu. Akibonga na Risasi Jumamosi, Shilole alisema tangu akiwa mdogo anapenda sana kupika hivyo hata sasa pamoja na kufanya muziki amekuwa akipika mwenyewe kwenye mgahawa […]

Read More..

Harmonize Adaiwa Kumuoneshea Ishara Mbaya M...

Post Image

Taarifa iliyotolewa na Kituo cha East Africa Television kupitia ukurasa wao wa Twitter imeeleza kuwa, Msanii kutoka WCB, Harmonize ilikuwa awepo kwenye kipindi cha FNL cha televisheni hiyo usiku huu, lakini ameingia mitini baada ya kumuona meneja wa msanii Harmorapa maeneo ya studio hizo. Inadaiwa kuwa baada ya kumuona meneja wa Harmorapa, msanii Harmonize amemuoneshea kidole cha […]

Read More..

Harmonize Awajibu Wanaoiponda Script ya Vid...

Post Image

Ni wiki moja sasa tangu First Born wa WCB,Harmonize apandishe Youtube video yake mpya ya Niambie ambayo imeonekana kupondwa na baadhi ya watu kuwa haijaendana na maudhui ya audio. Watu wengi wanadai kuwa audio inajenga picha ya umaskini,lakini kwenye video Harmonize anaonekana kwenye maisha ya kishua sana,jambo ambalo limewakera baadhi ya mashabiki.

Read More..