-->

Daily Archives: March 28, 2017

Mwigulu: Aliyemtishia Nape Bastola si Polis...

Post Image

Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema mtu aliyemtishia kwa bastola aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye si askari wa Jeshi la Polisi, lakini ameshapatikana na atashughulikiwa kwa mujibu wa utaratibu wa ulinzi na usalama. Mwigulu alisema hayo baada ya kufungua mkutano wa kazi wa mwaka wa maofisa waandamizi […]

Read More..

Kisa Wivu Snura Awatosa Mastaa

Post Image

MWANADADA mwenye umbo matata anayesumbua kunako Tasnia ya Muziki Bongo na Filamu, Snura Mushi ‘Snura’ amesema kuwa yeye ni mwanamke mwenye wivu sana jambo ambalo limemsababisha mpaka kushindwa kut   oka kimapenzi na mastaa wanaomtaka. Akipiga stori mbili tatu na Uwazi Showbiz, Snura aliongeza kuwa amekuwa akifuatilia uhusiano wa kimapenzi wa mastaa wengi na kugundua kuwa […]

Read More..

Diamond Afungukia Misaada Aliyotoa kwa Jami...

Post Image

Msanii Diamond Platinumz imembidi afunguke hayo mtandaoni baada ya kuguswa na comment shabiki mmoja aliyefungukia gharama za cheni ya Diamond . Shabibiki aliandika “……100m Kwenye shingo…huku watu wana ishu nashida atleast wasaidie watu kwenye maeneo mabaya,” alicomment shabiki huyo kwenye picha hiyo hapo chini. Naye Diamond alimjibu kwa kuandika, ““…..nimejenga nyumba 5 mwaka jana Iringa, misikiti […]

Read More..

Nikki wa Pili Awapa Darasa BASATA

Post Image

Msanii Nikki wa Pili kutoka katika kampuni ya Weusi amelitaka Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kufanya mpango kuwaita wasanii kwa ujumla ili wakae pamoja waweze kuwaweka sawa juu ya neno “maadili” linalotumiwa kama fimbo ya kuwachapa ‘wasanii’. Ametoa neno hilo leo wakati wakitambulisha wimbo wao mpya unaoitwa ‘Ya Kulevya’ kupitia kipindi cha Planet Bongo ya […]

Read More..

Nay wa Mitego Afunguka Baada Kuachiwa (Vide...

Post Image

Msanii wa muziki wa hip hop Nay wa Mitego amefunguka mengi mbele ya waandishi wa habari muda mchache baada ya kuachiwa na jeshi la polisi. Rapa huyo alishikiliwa na jeshi hilo kwa siku mbili baada ya wimbo wake mpya ‘Wapo’ kuonekana hauna maadili. Akiongea na waandishi wa habari baada ya kutoka kituo cha polisi alipokuwa […]

Read More..