-->

Daily Archives: April 4, 2017

Batuli: Sina Tatizo na Uwoya

Post Image

Mwanamama wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ameweka wazi kuwa hana tatizo na mwigizaji mwenzake, Irene Uwoya labda aulizwe yeye (Uwoya) kwani anasikia tu watu wakisema kuwa ana bifu naye. Batuli aliliambia Wikienda kuwa, anachojua yeye hana ugomvi na Uwoya na wala hana muda wa kusoma mitandaoni lakini angeomba aulizwe Uwoya. “Sina muda wa […]

Read More..

Wema Sepetu Alipamba Jarida la Kenya ‘Tru...

Post Image

Malkia wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu amekava jarida kubwa la True Love Magazine East Africa la nchini Kenya. Kwa sasa jarida hilo linaingia mtaani katika msimu huu wa pasaka. Kupitia Instagram, True Love Magazine East Africa, wameshare cover lake ambalo limepokelewa na maoni tofauti. Katika jarida hilo Wema amezungumzia hela, wanaume pamoja na maisha […]

Read More..

VIDEO: Zitto Afungukia Uteuzi wa Kitila Mku...

Post Image

Kiongozi mkuu wa chama cha ACT wazalendo,Zitto Kabwe anasema walifanya mashauriano kama chama ikiwemo Kitila Mkumbo, chama kimepokea uteuzi wa Kitila kuwa katibu mkuu. Uteuzi unaonyesha upinzani kuna watu wenye uwezo, weledi na uzalendo wa kuweza kutumika katika utumishi wa Umma. Zitto: Kitila ni mtumishi wa umma kwa sababu ni mhadhiri wa chuo kikuu cha […]

Read More..