-->

Daily Archives: April 5, 2017

Pombe Imemniletea Wolper Ubonge

Post Image

MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Jackline Wolper, ameweka wazi kwamba pombe ndiyo inayomsababishia unene anaopigania sasa kuupunguza. Wolper alisema watu wengi wanadhani ulaji wa chakula zaidi ndiyo unaosababisha mwili wake kuwa mnene kiasi cha kutowavutia baadhi ya mashabiki wake lakini ukweli ni kwamba unene huo unasababishwa na unywaji zaidi wa pombe. “Unajua sikuwa mnywaji na […]

Read More..

Video:Flora amethibitisha kuzaa nje ya ndoa...

Post Image

Muimbaji wa nyimbo za injili madam Flora (Zamani Flora Mbasha) amekiri kupata mtoto nje ya ndoa yake na aliyekuwa mume wake Emmanuel Mbasha ambaye pia ni muimbaji wa nyimbo za injili. Imefahamika. Hilo limefichuliwa leo na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha, alipokuwa kwenye kipindi cha Kikaangoni kinachorushwa kupitia ukurasa wa facebook wa EATV kila siku ya Jumatano […]

Read More..

Wazazi Walimkataa Alienipa Ujauzito-Linnah

Post Image

Msanii wa muziki Linah Sanga ambaye kwa sasa ni mjamzito amefunguka kwa kudai kuwa wazazi wake walimkataa mpenzi wake wa sasa kwa kigezo cha dini. Muimbaji huyo ambaye amelelewa katika misingi ya dini ya kikristo, amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds Fm kuwa haikuwa rahisi kwa wazazi wake kumkubali mwanaume huyo. “Mwanzoni wazazi wangu walimkataa […]

Read More..

Wema Sepetu Ampa Makavu Harmorapa

Post Image

MSANII wa filamu nchini Wema Sepetu, ‘Madam’ amemfungukia  Msanii wa Bongo Fleva, Harmorapa baada ya hivi karibuni kujinadi mtandaoni kuwa yupo tayari kumuoa Wema. Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, Wema ameandika kuwa anamheshimu Harmorapa kama msanii mwenzie hivyo kitendo cha kujinadi mtandaoni kuwa yupo tayari kuwa na Wema katika mahusiano si sawa ajaribu […]

Read More..

Uwoya: Nasaka Pesa Kwa Sababu ya Mtoto Wang...

Post Image

STAA wa filamu za Bongo Movie, Irene Uwoya, ameweka wazi kwamba bidii yake na ubunifu aliouongeza katika kazi zake anazofanya kwa sasa zinatokana na nia yake ya kutaka kumwandalia mazingira bora mtoto wake, Krish. Uwoya alisema kwa sasa anaweza kukidhi mahitaji yote ya mwanae lakini hatayamudu kama hataendeleza ubunifu katika sanaa ya uigizaji na shughuli […]

Read More..

Wema Sepetu: Sitoi Umaarufu Tena

Post Image

MISS Tanzania mwaka 2006 na mwigizaji wa filamu nchini, Wema Sepetu, amesema atamshtaki yeyote atakayetaka kupata jina kubwa kwa jamii kupitia mgongo wa jina lake kama baadhi ya wasanii waliotambulika kwa jamii kupitia jina lake. Wema alisema baadhi ya wasanii waliopata majina makubwa kutokana na kuwa karibu naye hawana heshima wala fadhila kwake, hivyo hataki […]

Read More..

Simu Yamponza Aliyejitosa Baharini

Post Image

Zanzibar. Msichana aliyejirusha baharini juzi, alikimbia kwao Zanzibar baada ya kukutwa na simu kinyume na utamaduni wa familia yao. Msichana huyo, ambaye jina tunalihifadhi kwa sababu za kimaadili kutokana na kuwa na umri mdogo, alikuwa amepanda boti ya Kilimanjaro iliyokuwa ikisafiri kwenda Zanzibar juzi na alijirusha katika Bahari ya Hindi saa 5:15 asubuhi. Picha za […]

Read More..