-->

Daily Archives: April 24, 2017

Wasanii Wasiopiga Kelele Hawategemei Filamu...

Post Image

Muigizaji mkongwe nchini Jacob Stephen ‘JB amefunguka na kudai hawakufanya maandamano ya kuzuia movie za nje ya nchi kuuzwa nchini bali waliandamana kuzitaka zilipiwe kodi au serikali itoe msamaha kwenye filamu za ndani. JB amezungumza hayo alipokuwa akifanya mahojiano na wanahabari wakati wa uzinduzi wa filamu ya Tunu na kudai kuwa watu wengi wamehusisha maandamano yao na […]

Read More..

Najivunia Kufananishwa na Jay Z- Joh Makini

Post Image

Msanii wa miondoko ya ‘Hip hop’ kutoka kampuni ya Weusi, Joh Makini amefunguka ya moyoni na kusema anajisikia faraja kwa mashabiki zake kumfananisha na msanii Jay Z. Joh Makini amesema ufananisho huo uko wazi kwa kuwa kiwango cha muziki wake ni mkubwa kiasi ambacho watu wanaomzunguka na wapenzi wa kazi zake hawaoni mtu mwingine wa […]

Read More..

Mchawi wa Filamu za Bongo Hayupo Kariakoo

Post Image

BAADHI ya wasanii wa filamu za Bongo wameandamana maeneo ya Kariakoo wakiamini ndiko alipo mchawi anayeroga kazi zao zisiuzike. Awali Bongo Fleva walikuwa wakipata shida kubwa walipokuwa wakipambana na muziki wa Genge uliokuwa maarufu nchini Kenya ambao ladha na mwonekano wa muziki huo ni kama wa Bongo Fleva, lakini hawakuandamana kwenda Kariakoo kupinga nyimbo zao […]

Read More..

Nay wa Mitego Apewa Makavu na Mzazi Mwenzak...

Post Image

Msanii wa hip hop, Nay wa mitego amechezea kichambo kutoka kwa mzazi mwenzake ambaye ni muigizaji wa filamu za bongo, Skyner Ally kuwa ameshindwa kuwa baba bora kwa binti yake. Kwenye ukurasa wake wa instagram Skyner amefunguka maneno hayo akiwa anamtakia heri ya kuzaliwa mtoto wake ambaye amefikisha miaka mitano na kudai kuwa alikuwa na […]

Read More..