-->

Daily Archives: April 27, 2017

Video: Hussein Machozi Arudi Bongo

Post Image

Msanii wa muziki, Hussein Machozi, Jumatano hii usiku aliwasili jijini Dar es salaam katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere akitokea nchini Italy alipokuwa katika shughuli zake za masomo na muziki. Muimbaji huyo ametua nchini akiwa na video yake mpya iliyoandaliwa nchini humo. Akizungumza na waandishi wa habari muda mchache baada ya kuwasili, Hussein amedai […]

Read More..

Natamani Kufanya Kazi na Chid Benz-Ray C

Post Image

Msanii mkongwe ambaye kwa sasa anasikika na ngoma ya ‘Unanimaliza’  Rehema Chalamila ‘Ray C’ amekiri kutamani kufanya kazi nyingine na rapa Chid Benzi na anamuombea kwa Mungu ili aweze kutoka rasmi kwenye mtihani wa dawa za kulevya Ray C amefunguka hayo hivi karibuni na kusema kuwa mbali na kuwa walisha fanya wimbo wa pamoja na […]

Read More..

Daz Baba Amgundua Mchawi Wake

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop, Daz Baba amedai amegundua kitu ambacho kinamkwamisha ashindwe kufanya vizuri kama zamani. Daz ambaye amewahi kufanya vizuri na nyimbo nyingi ikiwemo ‘Namba 8’, ameimbia Bongo5 kuwa uwekezaji katika kazi zake za muziki ndio kitu ambacho kinamfelisha. “Mimi kitu ambacho kinanikwamisha kwa sasa ni video kali. Kwa sababu nyimbo […]

Read More..

Shilole: Sasa Natamani Kuvaa Shela

Post Image

STAA wa Mduara Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, sasa anatamani kuvaa shela kama walivyovaa wanawake wengine kwani kuna wakati ukifika mwanamke lazima utamani hali hiyo. Akizungumza na Showbiz Xtra, Shilole alisema kuwa, watu wengi wanamtabiria mambo mazuri ya ndoa lakini anaamini kuwa siku yake itafika na ataolewa na kila mmoja atashangaa. “Natamani sana na […]

Read More..

Ray Kigosi Afungukia Unafiki wa Baadhi ya M...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Ray Kigosi amefunguka na kusema kuwa baadhi wa Watanzania ni wanafiki na wamekuwa wakikatisha tamaa watu katika mambo yao kutokana na unafiki wao. Ray Kigosi amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na kusema kutokana na unafiki huo wa baadhi ya watu ulimfanya mpaka marehemu Kanumba kuvunjwa moyo katika kazi yake […]

Read More..