-->

Daily Archives: April 28, 2017

Wakazi Dar Watahadharishwa Juu ya Mvua Kubw...

Post Image

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa tahadhari kwa umma kuhusu vipindi vya mvua kubwa vinavyoambatana na upepo mkali na mawimbi makubwa katika mwambao wa ukanda wa pwani. Katika taarifa yake ya leo saa 11:15 jioni, TMA imetoa tahadhari kuwa, kuanzia leo hadi keshokutwa kutakuwa na vipindi vifupi vya mvua kubwa inayozidi […]

Read More..

Yusuph Mlela Ataka Wazichape na Nay wa Mite...

Post Image

Muigizaji wa filamu za bongo Yusuph Mlela leo amezungumza na kumtaka msanii wa muziki wa hip hop na Bongo fleva Nay wa Mitego, kuheshimu na kutoziingilia kazi za wasanii wengine kama anavyoheshimu kazi zake. Yusuf Mlela aliendelea kwa kusema kuwa kama Nay wa Mitego anaona ameshafanikiwa kimaisha basi awapishe wasanii wengine waendelee kujitafutia riziki kwani […]

Read More..

Steve Nyerere Afungukaia Urais wa Mwakifamb...

Post Image

Mchekeshaji Steve Nyerere amendelea kuwachana wasanii wenzake kutotumia nguvu nyingi kutaka kumng’oa madarakani  Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifamba kwa kisingizio cha kudai harakati za kufanya mabadiliko katika tasnia ya filamu. Steve ametema chehe hizo  kwa kudai figisu zinazofanywa na wasanii wenzake kwa njia za maadamano zina lengo la kutaka kumuondoa madarakani Simon Mwakifamba […]

Read More..

VIDEO: Rais Magufuli Afuta Ajira Zaidi ya E...

Post Image

Rais  Dk. John Pombe Magufuli, ameiagiza Wizara ya Fedha kufuta mara moja ajira za  watumishi wa umma 9,932 waliobainika kughushi vyeti, kwenye orodha ya malipo ya watumishi wa umma. Akiongea leo mara baada ya kupokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma mjini Dodoma, Rais Magufuli pia amewataka watumishi hao kuondoka wenyewe na […]

Read More..

Nicole Afungukia Ishu Vanessa Kumchukulia B...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Nicole aliyezaa na mbunge ambaye hakutaka kuweka jina lake wazi amefunguka tetesi za mzazi mwenzake huyo kutoka kimapenzi na msanii Vanessa Mdee na kusema yeye anafahamu kuwa Vanessa na mzazi mwenzake huyo ni kama mtu na mdogo. Akiongea kwenye kipindi cha eNewz Nicole amedai yeye hafahamiani kabisaa na Vanessa Mdee anasema […]

Read More..