-->

Daily Archives: April 30, 2017

Picha:Madam Flora Afunga Ndoa Leo na Daudi ...

Post Image

Manamuziki maarufu wa nyimbo za Injili, Flora Flora, ambaye ni mjukuu wa aliyekuwa muhubiri maarufu nchini, Askofu, Moses Kulola (sasa marehemu), amefunga ndoa leo tarehe 30/04/2017 jiji Mwanza na mchumba wake Daudi Kusweka. Hizi ni baadhi ya picha za harusi hiyo.

Read More..

Sizifahamu Movie za Ray – Nikk Wa Pili

Post Image

Msanii wa Hip hop nchini Tanzania Nikk Wa Pili amesema kuwa mastaa wengi wa Bongo Movie wanafahamika zaidi kuliko kazi zao tofauti na ilivyo kwa wasanii wa filamu kutoka nje. Nikk Wa pili alizungumza hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL)  nakusisitiza kuwa mastaa wengi wa bongo wanatrendi kwa muda mrefu hata zaidi […]

Read More..

Bongo Muvi Acheni Kuwaonea Wakorea, Wafilip...

Post Image

BONGO Muvi imekwisha sasa. Hakuna anayeshtuka kusikia Ray ama Riyama katoa Muvi mpya. Bongo Muvi ipo ipo tu. imebaki kuwa kama Panadol. Haimalizi tatizo bali inatuliza tu. Mtu akitaka kuangalia muvi za nyumbani anaangalia ila anakuwa hajamalizwa kiu yake. Hakuna ubunifu wala viwango. Hakuna vipaji halisi wala kitu cha kushawishi kuangalia. Juzi wameandamana. Kabla ya […]

Read More..

Tetemeko la ardhi lazua hofu kwa wananchi w...

Post Image

Bukoba. Tetemeko la ardhi limetokea tena mkoani Kagera na kusababisha hofu kwa wananchi. Hofu hiyo inatokana na tetemeko la ukubwa wa 5.7 kwa vipimo vya Richter lililotokea mkoani hapa Septemba mwaka jana na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 10 majeruhi takriban 200 na mamia wengine kukosa makazi. Wananchi waliozungumza na gazeti hili, katika Manispaa […]

Read More..

Nay wa Mitego Anakula Madawa – Niva S...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Niva Super Mario ameendelea kumsakama Nay wa Mitego kwa kusema kuwa msanii huyo hana nguvu na si mtu wa mazoezi bali ni mtu ambaye anakula madawa ya kuongeza nguvu na mwili huku akitafuta kiki kupitia bongo movie. Niva alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL) na kusema hiyo […]

Read More..

Video: Rais Magufuli Awasili Mkoani Kiliman...

Post Image

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewasili mkoani Kilimanjaro kwa ziara ya siku tatu, ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe ya wafanyakazi ‘Mei Mosi’. Ijumaa hii Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadiki, alitoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kumpokea Rais Magufuli pamoja na […]

Read More..