Daily Archives: May 7, 2017

Vanessa Mdee Amjibu Afande Sele

Post Image

Msanii ┬áVanessa Mdee ameshindwa kuvumilia kukaa kimya baada Rapa Afande Sele kusema kuwa Said Karoli ana uwezo mkubwa kisanii kuliko Vanessa Mdee Vanessa Mdee ameonyesha kutofurahishwa na kauli ya Afande Sele na kusema alikuwa anamuheshimu na kumtambua msanii huyo kutokana na heshima yake kwenye muziki huu lakini amechoshwa, kuzunguziwa na mtu huyo katika vitu visivyoeleweka […]

Read More..

NDANI YA BOKSI: Bongo Fleva Inapoishi kwa M...

Post Image

Msimu wa Fiesta unakaribia. Tegemea nyimbo nyingi za Bongo Fleva kuachiwa kipindi hiki. Kwa msukumo wa tukio la Fiesta ili wapate nafasi ya kupanda majukwaani katika mikoa mbalimbali. Shoo zilizokuwa zikiandaliwa na kina Nyau kule Morogoro na mwenzake Ngedere hazipo hivi sasa hata kama zipo siyo kama zamani kimapato na msisimko. Mdosi wa Shinyanga sidhani […]

Read More..

Shule ya Lucky Vicent yafungwa, Lema afika ...

Post Image

Shule ya Lucky Vicent imefungwa kwa siku saba kufuatia vifo vya wanafunzi wake 32 vilivyotokea kwenye ajali ya gari jana Karatu. Kutokana na ajali hiyo Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na wabunge wengine wa Chadema wamefika shuleni hapo kutoa pole. Lema kwa niaba wabunge wameeleza kusikitishwa na msiba huu na amewapa pole wafiwa lakini […]

Read More..

Young Dee awazungumzia Young Killer, Dogo J...

Post Image

Rapa Young Dee amefunguka mambo kadhaa kuhusu Young Killer na Dogo Janja kumchana mara kwa mara kwenye ngoma zao. Young Dee amekiambia kipindi cha The Play List cha Times Fm kuwa wasanii hao ni umri tu wanapitia kwa sasa ambao yeye ameshapita huko hivyo hawashangai. Kuhusu line ya Dogo Janja iliyopo katika wimbo wake wa […]

Read More..

Shamsa Ford Amkingia Kifua Flora

Post Image

Msanii wa filamu Shamsa Ford amefunguka na kumtetea Flora aliyewahi kuwa mke wa Emmanuel Mbasha ambaye wiki iliyopita aliolewa tena na kijana Daudi Kusekwa. Shamsa Ford ameibuka na kuanza kumtetea Flora kutokana na maamuzi yake hayo ya kuolewa kwa mara ya pili na kusema yeye ndiye anajua kwanini ameamua kufanya hivyo na kumtaka kutosikiliza maneno […]

Read More..