Daily Archives: May 8, 2017

Harmorapa: Wimbo Wangu Mpya ‘Nundu...

Post Image

Msanii Harmorapa, amefunguka na kusema wimbo wake mpya ‘Nundu’ ambao unatoka leo na kutambulishwa kwa mara ya kwanza katika kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio utazima ngoma zote zilizotoka kutokana na ubora wake na ukali wa ngoma hiyo. Harmorapa amesema kuwa anaamini kazi yake hiyo inakuja kupoteza ngoma zingine kutokana na vile ambavyo […]

Read More..

Flora, Ha-Baba Warudiana

Post Image

DAR ES SALAAM: Mastaa wawili Bongo ambao walikuwa wanandoa kisha wakatengana kwa muda, Hamis Ramadhan ‘H.Baba’ na Flora Mvungi, hatimaye wamerudiana na sasa ni mwendo wa mahaba niue. Chanzo makini kililieleza Wikienda kuwa, wawili hao wamerudiana hivi karibuni ambapo hivi sasa ni mahaba niue kwani hata kwenye mitandao ya kijamii wamekuwa wakiweka picha wakiwa kimahaba, […]

Read More..

Picha: Umati Uliojitokeza Kuaga Miili ya Wa...

Post Image

ARUSHA: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi. Samia Suluhu Hassan amewaongoza maelfu ya waombolezaji waliofika kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha  na Watanzania wote kuaga miili ya watoto waliofariki kwa ajali ya gari juzi Jumamosi. Katika hotuba yake kwa wananchi waliojitokeza kwa wingi katika tukio la kuaga miili hiyo […]

Read More..

Janga Nililonalo ni Ugonjwa – Chid Benzi

Post Image

Rapa Chid Benzi ambaye siku kadhaa zilizopita amesherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa amefunguka na kusema janga alilokuwa nalo ni ugonjwa ambao bado anaendelea kupigana nao kuondoa. Chid Benz amesema kuwa katika kipindi cha katikati alifikia hatua ya kuchanganyikiwa na kusema hicho ndiyo kitu ambacho kilimfanya kurudi tena kwenye matumizi ya dawa za kulevya, […]

Read More..

VIDEO: Bongo Movies & Bongo Fleva Waib...

Post Image

DODOMA: WASANII wa filamu nchini, Bongo Movie pamoja na wale wa muziki, Bongo Fleva jana waliibuka kwenye Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma wakati waziri Dkt. Harrison Mwakyembe akisoma bajeti ya makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2017/2018. Chanzo:GPL

Read More..