Daily Archives: May 9, 2017

Baraka Akiri Naj Kumpoteza Kwenye Media

Post Image

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Baraka Andrew ‘Baraka The Prince’ hivi karibuni amekiri kuwa, mpenzi wake wa sasa Najma Dattan ‘Naj’ ndiye amesababisha akauke kwenye vyombo vya habari ‘media’. Akichonga na Mikito Nusunusu, Baraka alisema kuwa kipindi cha nyuma kabla hajawa kwenye uhusiano na Naj alikuwa hajatulia hivyo wasichana wengi […]

Read More..

Linah Sanga Afungukia Kuachia Tumbo Wazi

Post Image

Linah Sanga ‘Ndege Mnana’ amefunguka na kuweka wazi kwamba haoni tatizo yeye kupiga picha za kuachia tumbo lake lenye ujauzito wazi kwani picha ni za kawaida sana wala hazina matatizo yoyote. Linnah amefunguka hayo kwenye kamera za eNewz na kudai kwamba hawezi kumfurahisha kila mmoja ndio maana anafanya kile ambacho anahisi kipo sahihi kwa upande wake […]

Read More..

Si Mchina ni Umbo Langu – Sasha

Post Image

MWIGIZAJI chipukizi katika tasnia ya filamu Bongo Sophia Salim ‘Sasha’ mwenye umbo la Kibantu amesema kuwa ni umbile lake na hajui wala hajawahi kutumia dawa za Kichina kama vile ambavyo wengine wanadaiwa kufanya kitu hicho yeye amezaliwa hivyo na anajivunia kuwa hivyo. “Jamani hili ni umbo langu halisi nimeumbwa hivi na sijawahi wala sijui hizo […]

Read More..

Jux Afungukia Picha za Vanessa na Wanaume

Post Image

Msanii Jux ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake ‘Umenikamata’ amefungaka na kusema kitendo cha Vanessa Mdee kuonekana akipiga picha na wasanii mbalimbali au wanaume hakimpi shida kwani yeye anaamini zile ni kazi. Jux anasema yeye aliamua kutoweka wazi mambo yake na Vanessa kutokana na ukweli kwamba ilifika wakati watu walikuwa hawazungumzii kazi zao zaidi […]

Read More..

Masogange Ajisalimisha Kisutu

Post Image

Dar es Salaam. Msanii, Agnes Gerald maarufu kama Masogange (28) amejisalimisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Kabla ya Masogange kujisalimisha mahakama ilitoa hati ya kumkamata baada ya kushindwa kuhudhuria mara mbili kwenye kesi hiyo inayomkabili. Hatua hiyo ya kutaka kukamatwa kwa Masogange ilikuja baada ya upande wa mashtaka kuomba mahakama kutoa hati ya kumkamata […]

Read More..

RAY C Afungukia Kutoka na Mbunge

Post Image

DAR ES SALAAM: Sexy lady mkongwe wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amefunguka kuwa hajawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi mbunge yoyote nchini kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakieneza ubuyu. Ray C aliliambia Wikienda kuwa, mbali na kufahamiana na wabunge mbalimbali nchini, lakini hata siku moja hajawahi kujiingiza kwenye uhusiano na mheshimiwa yeyote […]

Read More..