Daily Archives: May 11, 2017

Harmorapa Amjibu Afande Sele

Post Image

Wiki iliyopita Mfalme wa Rhymes nchini Tanzania, Afande Sele alizungumzia hali ya muziki ilivyo kwa sasa na kwenye mazungumzo hayo alisikika akisema hajui ngoma yoyote ya Harmorapa na hata kwa mara ya kwanza kumuona ni pale alipotokea kwenye tukio la Nape kushikiwa Bastola, hivyo haelewi muziki anaoufanya zaidi ya kumuona mitandaoni tuu. Hatimaye Harmorapa amemjibu. […]

Read More..

Hakuna Zaidi Yangu – Chid Benz

Post Image

Rapa Chid Benzi amefunguka na kusema kwa Tanzania hii hakuna msanii mkali kama yeye na hatatokea msanii ambaye anaweza kuchukua nafasi yake kwa mashabiki wake sababu hata hao mashabiki zake wanatambua kuwa hakuna msanii mkali zaidi ya Chuma. Chid Benzi amesema hayo alipokuwa akiwatoa hofu watu juu ya yeye kurudi kwenye muziki na kusema muda […]

Read More..

Mambo 9 Kurudisha Soko la ya Kuzingatia Fil...

Post Image

KUTOKANA na wasanii wa fi lamu za Kibongo kuwa kwenye mikakati mizito ya kuhakikisha soko la kazi zao linarejea kwenye ubora wake kwa madai kuwa filamu za nje zimeua soko la ndani, kuna haja ya kuyazingatia haya yanayochangia kufeli kwao ili kupaa na kufi kia levo ya kimataifa. UBORA WA STORI Ninapozungumzia ubora wa stori […]

Read More..

Chura Ameniunganisha na Watu -Snura

Post Image

Msanii wa muziki Bongo Snura Mushi a.k.a Snura amefurahishwa na mashabiki aliowapata wakati anatoa nyimbo ya chura mwaka jana mwezi wa nne. Snura ameeleza kufurahishwa kwa kuongeza idadi ya mashabiki hao kupitia kipindi cha EIGHT cha TVE kuwa nyimbo yake ya chura ilimuwezesha kupata mashabiki wengi katika soko lake la muziki na anaimani bado anao […]

Read More..