VIDEO: Singeli Tupunguze Maneno Machafu- Ma...

Msanii Man Fongo amewataka wasanii wenzake wa kisingeli nchini kupunguza ukali wa maneno katika tungo zao wanazozitumia kwenye kuimba kwa madai muziki huo ndiyo pekee wa asili uliyobakia katika kulitangaza taifa kwenye soko la kimataifa Man Fongo amesema hayo kupitia kipindi cha eNewz cha EATV huku akisisitiza kuwa muziki huo unasikilizwa na watu wa rika […]
Read More..