Daily Archives: May 31, 2017

NDANI YA BOKSI: Tunasubiri Wastaafu, Wafe T...

Post Image

Kuna wapendwa wetu wengi ambao tumebaki nao kwenye dunia hii kupitia sauti tu. Video ama maandishi yao. Ardhi inameza sana watu. Dogo Mfaume kishatangulia. Alipigania uhai wake kwa kupambana kuacha matumizi ya dawa za kulevya. Mpaka mauti yanamfika alikuwa ‘sobber house’, na aligoma kuondoka pale kurudi kitaa. Aliamini kuwa akirudi kitaa atashindwa kukwepa ushawishi wa […]

Read More..

Nash MC Auza Nakala Zaidi ya 100 Ujerumani

Post Image

MSANII wa hip hop anayetamba na wimbo wa ‘Shujaa’, Nash Mc, baada ya onyesho lake katika mji huo ameuza nakala zaidi ya 100 za kazi zake mbalimbali za muziki kwa wadau mbalimbali wa Kiswahili waliohudhuria kwenye Kongamano la 25 la Kiswahili la Chuo Kikuu cha Bayreuth, lililofanyika nchini Ujerumani. Msanii huyo kutoka Tanzania amekuwa  wa […]

Read More..

Baba Mzazi wa Afungukia Harmorapa Kukataa K...

Post Image

Baba mzazi wa msanii Athuman Omary ‘Harmorapa amefunguka na kudai kwamba mwanae huyo aligoma kujiunga na jeshi alipomaliza kidato cha nne kwa madai ya kutaka kufanya muziki licha ya kuwa tayari alikwisha tafutiwa nafasi. Bw. Omary (baba Harmorapa) amesema hayo kupitia kipindi cha Planet bongo ya EATV na kusema alipoona mtoto wake amekataa nafasi hiyo ya […]

Read More..

Jike Shupa Akataliwa Ukweni

Post Image

WAKATI akiwa na matumaini kuwa huenda naye akampata wake wa kutengeneza familia yake, muuza sura kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ amekataliwa na wazazi wa mwanaume aliyetaka kumuoa. Akipiga stori na Za Motomoto News, Jike Shupa alisema ataendelea kuishi na mwanaume huyo bila ndoa hata katika kipindi hiki cha Mfungo […]

Read More..

Rais Magufuli Afunguka Anavyomkumbuka Ndesa...

Post Image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameeleza kusikitishwa na taarifa za kifo cha Mbunge mstaafu wa Jimbo la Moshi mjini Mzee Philemon Ndesamburo kilichotokea asubuhi ya leo. Katika salamu za rambirambi alizozitoa Rais Magufuli kwenda kwa wafiwa pamoja na viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) […]

Read More..