Monthly Archives: June 2017

Young Killer Akubali Yaishe

Post Image

Yale majibizano kati ya Nay pamoja na Msodoki yameendelea tena, baada ya Nay wa Mitego kusema amesikia ngoma ya Young Killer lakini kwake ni kama jingo kwani wimbo huo haujamilika. Msodoki amekiri ‘True Boya’ si wimbo rasmi kwani hakufanya serious. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio Young Killer amesema wimbo wake […]

Read More..

Kajala: Nilivuta Bangi, Kidogo Inipoteze

Post Image

CONFESSION! Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja amevunja ‘sefu’ ya kuhifadhia siri moyoni mwake na kuweka wazi kuwahi kujihusisha na ulevi wa madawa ya kulevya, aina ya bangi, Ijumaalina kauli yake.   Katika mahojiano na mwandishi wetu hivi karibuni, msanii huyo alisema akiwa na umri wa kuingia usichanani kutoka utotoni, alijikuta mikononi mwa marafiki waovu, waliojihusisha na ulevi huo, […]

Read More..

VIDEO: Ndugai Achoshwa na Haya

Post Image

Spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai amefunguka kuwa wabunge wanaodai kuwa bunge ni dhaifu basi ni wazi watakuwa na mambo yanawasumbua ndio maana wanatoa kauli za kudhihaki chombo hicho. Mhe. Ndugai amesema hayo leo mjini Dodoma baada ya kuwepo kwa baadhi ya wabunge wanaotoa kauli zisizokuwa rasmi katika vikao vya bunge bila kufikiria kwamba […]

Read More..

Uwoya: Kuzaa Walizwe Wasio na Watoto

Post Image

STAA mwenye mvuto wa kipekee wa Bongo Muvi, Irene Uwoya amefunguka kuwa anachukizwa na ishu ya kuulizwa lini ataongeza mototo mwingine baada ya mtoto wake wa kwanza, Krish huku kukiwa na mastaa wengine ambao hawana hata mtoto wa kusingiziwa. Akizungumza na 3 Tamu, Uwoya alisema kuwa, hata kama yeye hatazaa tena, lakini ishu hiyo haita […]

Read More..

Kassim Mganga Afungukia Nyimbo Zake Kubamba...

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva, Kassim Mganga amesema muziki wake ambao unabeba utamaduni wa Pwani zaidi umekuwa ukipendwa sana kwenye harusi. Muimbaji huyo ameeleza kutokana na hilo ndio sababu ya yeye kutosikika zaidi katika muziki wa kisasa (Bongo Fleva). “Kwa mfano sasa hivi napata changamoto ya kupokea simu nyingi zaidi za harusi, kwa hiyo nimekuwa natengeneza […]

Read More..

Mwanafunzi Ajirusha Ghorofani

Post Image

Mtoto anayedhaniwa kuwa ni mwanafunzi wa  shule ya DYCCC iliyopo Chang’ombe jijini Dar es Salaam amejirusha kutoka ghorofa ya nne mpaka chini huku chanzo cha tukio hilo kikiwa bado hakijafahamika haraka. Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Temeke,  Andrew Satta amekiri kutokea kwa tukio hilo ingawa taarifa hizo zipo kwenye mitandao na hazijafikishwa kituoni hapo, lakini […]

Read More..

Lowassa Afika Polisi, Ulinzi Mkali, Atakiwa...

Post Image

Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amewasili katika makao makuu ya Jeshi la Polisi leo (Alhamisi) kama alivyoelekezwa siku ya Jumanne wiki hii baada ya kuhojiwa kwa saa nne. Lowassa amewasili saa 5:52 asubuhi akiwa ameambata na viongozi wengine wa Chadema akiwemo mwenyekiti wa chama […]

Read More..

Rais wa Simba Evans Aveva na Makamu wake Go...

Post Image

Rais wa Simba Evans Aveva na Godfrey Nyange wamepelekwa Rumande baada ya kukabiliwa na mashitaka matano ikiwemo ya utakatishaji fedha ambayo hayana dhamana. Washitakiwa wote kwa pamoja wanadaiwa kutakatisha fedha ambayo ni dola za Marekani 300,000 walizozipata kwa kughushi nyaraka kuonesha kwamba Club ya Simba imelipa deni la fedha hiyo kwa Aveva. Hakimu Mkazi Mkuu […]

Read More..

Siku Chache Baada ya Kifo cha Mkewe, Mzee Y...

Post Image

Zikiwa zimepita siku kumi tangu apate pigo la kufiwa na mkewe mdogo, Chiku Khamis, aliyekuwa Mfalme wa Taarab Bongo na Mkurugenzi wa Kundi la Jahazi Modern, Alhaj Mzee Yusuf kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu endapo ataoa mke mwingine. Mzee Yusuf amefunguka alipoulizwa na Gazeti la Risasi endapo hali yake itarejea kama kawaida, Mzee Yusuf […]

Read More..

Picha: Mapokezi ya Rayvanny Akiwa na tuzo ...

Post Image

Leo mchana kwenye majira ya saa tisa, msanii Rayvanny aliwasili nchini akiwa na tuzo yake ya BET ambayo aliinyakuwa usiku wa Jumamosi nchini Marekani aliwasili katika uwanja wa JK. Nyerere na kupata mapokezi makubwa kama ya kifalme. Hitmaker huyo wa Mbeleko alipokelewa katika uwanja huo na mabosi wake wa WCB wakiongozwa na Diamond, Mkubwa Fella, […]

Read More..

VIDEO: Kassim Awajibu Wanaoponda Muonekano ...

Post Image

Msanii wa bongo fleva Kassim Mganga amefunguka kwa kusema hajachukizwa na maneno aliyotupiwa na mashabiki zake  baada ya kubadili muonekano wake kwa kuwa ni jambo alilokuwa analitegemea tangu awali. Kassim  amesema mashabiki zake wamechukizwa na muonekano wake mpya aliokuja nao huku wengine wakimwambia kwamba  muziki anaoufanya na jinsi alivyopaka ndevu rangi havifanani kabisa. “Unajua unapofanya jambo lazima utegemee […]

Read More..

Donald Ngoma Asaini Yanga

Post Image

Mshambuliaji wa  Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo katika Ligi Kuu Bara msimu ujao. Ngoma ambaye alikuwa akihusishwa kujiunga waponzani wa Yanga, Simba kabla ya kuzuka kwa taarifa za kujiunga na klabu ya Polokwane City inayoshiriki Ligi ya kuu ya Afrika Kusini ‘Primiership ABS‘ ambapo alitua nchini usiku […]

Read More..

Mzee wa Upako Awafungukia Bongo Movie

Post Image

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo alimaarufu kama ‘Mzee wa Upako’ anashangaa Waigizaji wa Bongo Movie kwa kuigiza vitu ambavyo havina uhalisia kama filamu za wenzetu walioendelea. Mzee wa Upako amesema anawashangaa Waigizaji hao kuandamana kwa kudai wanaharibiwa soko na filamu za kigeni ile hali vitu wanavyoigiza havina uhalisia kabisa kwenye jamii yetu […]

Read More..

Viongozi Wawili Wapigwa Risasi Kibiti

Post Image

Kibiti. Viongozi wawili wamepigwa risasi katika Kijiji cha Mangwi kilichopo Kata ya Mchukwi wilayani Kibiti usiku wa kuamkia leo (Jumatano). Waliopigwa risasi wametajwa kuwa ni mtendaji wa kijiji hicho, Shamte Makawa na mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi, Maiko Nicholaus. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga amekiri kutokea kwa tukio hilo. Amesema polisi wameenda […]

Read More..

Rayvanny wa WCB Kutua Bongo Leo

Post Image

Msanii wa kizazi kipya, Rayvanny aliyeshinda tuzo ya BET kipengele cha International Viewers Act 2017, atawasili nchini leo saa 8 mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Rayvanny alipata tuzo hiyo nchini Marekani Juni 25 na kuwa msanii wa kwanza kushinda tuzo hizo kubwa. Rayvanny ameambatana na Babutale ambaye ni mmoja […]

Read More..

Alikiba na Diamond Wananiumiza Sana Kichwa ...

Post Image

Msanii wa muziki aliyewahi kufanya vizuri na wimbo Binti Kiziwi,  Z Anto amesema siku  yoyote kuanzia sasa anaachia ngoma yake mpya na video huku akidai watu anaowawaza na kuwafikiria sana kuwa ni Alikiba, Diamond Platnum pamoja na Vanessa Mdee. Z Anto ameiambia Enewz ya EATV kuwa ujio wake mpya katika muziki wa bongo fleva unakuja […]

Read More..

Wapinzani Watapotea – Mrisho Gambo

Post Image

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amefunguka na kusema kuwa wapinzani wa Tanzania kama hawatabadili aina ya siasa wanazozifanya sasa basi watapotea kwani serikali ya awamu ya tano imepata Rais ambaye hataniwi na wala hatishiki. Gambo amesema kuwa wapinzani baadala ya kuanza kupiga porojo zisizo na msingi bali wajipange tu kumsaidia Rais John Pombe […]

Read More..

Wema Ajivunia Umbo Lake

Post Image

Malikia wa filamu Bongo Wema Sepetu ‘Tz Sweethert’  amejinadi kwamba huwa hamalizi kujitazama umbo lake alilopewa na Mungu huku akiwataka wale ambao hawajajaaliwa na wamshukuru pia Mungu. Kauli hiyo ameitoa kwenye mtandao wake wa wa kijamii baada ya hivi karibuni kutupia picha zilizochora shepu yake kucua utata huku wengine wakimnanga kwamba siyo ya aili na […]

Read More..