-->

Daily Archives: June 4, 2017

Zari Asimulia Alivyokiona Kifo cha Ivan

Post Image

SIKU chache baada ya mfanyabiashara maarufu nchini Uganda, Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ kuzikwa, aliyekuwa mkewe Zarina Hassan ‘Zari the Boss Lady’ ameeleza namna alivyokiona kifo cha Ivan Don. Akizungumza na mtandao mmoja wa burudani, Zari alisema alipewa taarifa na madaktari mapema baada ya hali ya Ivan kubadilika. Zari alikuwa akijibu swali aliloulizwa na mtandao huo […]

Read More..

VIDEO: Siwezi Kumshirikisha Vanessa –...

Post Image

Msanii anayechipukia kutoka ‘Mdee Music’ Mimi mars amefunguka na kuweka wazi kwamba hataweza kushirikiana na dada yake Vanessa Mdee katika kuandaa kazi ya pamoja kwa kipindi hiki kwa sababu ya mashabiki zake bado wanashindwa kutofautisha sauti zao. Mars ambaye anafanya vizuri na wimbo mpya unaokwenda kwa jina la ‘Dedee’ amesema kwa sasa yupo kwe wakati […]

Read More..

Siri ya Jokate Kutusua Forbes

Post Image

JARIDA la Forbes Africa lililojipatia umaarufu kwa kutoa orodha ya watu wenye mafanikio kutoka kwenye sekta mbalimbali barani Afrika mapema wiki hii lilitoa orodha ya vijana wenye umri chini ya miaka 30 ambao wamepata mafanikio katika sekta mbalimbali mwaka 2017 huku Tanzania ikiwa imeingiza vijana wanne ambao ni Harun Elias, Godfrey Magila, Upendo Shuma na […]

Read More..

Madam Flora Atoa Ujumbe Huu Kwa Wote

Post Image

Ikiwa leo ni mwezi mmoja na siku kadhaa toka msanii wa Injili Madam Flora kufunga ndoa kwa mara ya pili na mume wake Daudi Kusekwa baada ya kuachana na aliyekuwa mume wake Emmanuel Mbasha, Fora amefunguka na kuwataka watu kuwa na maamuzi binafsi. Msanii huyo amewataka watu kuwa na maamuzi binafsi kama wanataka kufikia ndoto […]

Read More..

Mume Wangu Awe na Hofu ya Mungu – Jokate

Post Image

Mrembo Jokate Mwegelo ameamua kuweka wazi juu ya mwanaume anayependa kuolewa naye na kuanzisha familia baada ya miaka mitano. Akizungumza na gazeti la Mwanachi Jokate ambaye ametajwa kuwa katika orodha la jarida la Forbes Africa la kuwa miongoni mwa vijana walio na umri chini ya miaka 30 wenye mafanikio mbalimbali kwa mwaka 2017. “Kusema kweli […]

Read More..