-->

Daily Archives: June 12, 2017

Alipo Barnaba Si Levo Zake Kabisa! (Maoni)

Post Image

KUWA na kipaji ni suala moja, kukitumia ni suala la pili. Ila suala muhimu zaidi ni kuvuna matunda stahiki kupitia kipaji husika. Ni ujinga kuwa na kipaji na kuishia kupewa sifa tu. Haina maana kuwa na kipaji kikubwa ikiwa wanaofaidika ni wale wenye vipaji vya kawaida. Barnaba ni msanii mwenye kipaji kikubwa. Wengi wa wasaniii […]

Read More..

VIDEO: Shaa Afunguka Kuhusu Kolabo na Chipu...

Post Image

Malkia wa uswazi anayefanya poa kwenye game ya bongo fleva, Shaa amefunguka na kusema haoni shida kumsaidia msanii chipukizi ili kutimiza malengo yake kwani hata yeye alishikwa mkono na wasanii wakubwa pasipo kulipishwa hata shilingi mia. Akiongea kwenye kipindi cha FNL cha EATV, Shaa amesema yeye wakati anaanza muziki akiwa msanii mdogo aliweza kupata nafasi ya […]

Read More..

Chid Benz Aibuka, Afunguka Mazito, Baada ya...

Post Image

DAR ES SALAAM: HUYU HAPA! BAADA ya Mwanamuziki Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ kupotea kwa muda mrefu kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, kufuatia kutopea kwenye matumizi ya madawa ya kulevya, hatimaye ameibuka na kufunguka mambo kibao. Akizungumza na Risasi Jumamosi hivi karibuni, Chid Benz ambaye kwa sasa yupo jijini Dar akitokea Zanzibar alikokuwa amekwenda […]

Read More..

Jay Moe Akiri Kuwa-diss Hawa

Post Image

Mkongwe aliyerudi kwenye game kwa kasi nzuri, Juma Mchopanga ‘Jay Moe’ amefunguka na kusema kwamba kwenye nyimbo zake alizoweza kuandika na ku-diss watumiaji wa unga ilikuwa ni njia ya kufikisha ujumbe kwa marafiki zake na wasanii kwa njia ya sanaa. Jay Moe ameweka wazi hayo baada ya kuulizwa juu ya mstari wake ‘ bora mimi […]

Read More..

Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya P...

Post Image

Leo June 12 2017 ndio ilikua siku ya Rais Magufuli kuipokea Ripoti ya pili ya mchanga wa madini ambao Makontena yake yalizuiwa kusafirishwa kwenda nje ya Tanzania.. hii video hapa chini itakukutanisha na kila alichosema na kuonyesha hisia zake

Read More..