-->

Daily Archives: June 25, 2017

‘Urugambo’ Inanikumbusha Mpenzi Wangu &...

Post Image

Mwanamuziki mkongwe wa nyimbo za asili, Saida Kalori, ambaye kwasasa anatamba na wimbo wake mpya ‘Urugambo’ ametoa ya moyoni kuwa wimbo huo unamkumbusha mpenzi wake wa zamani. Saida anasema umaarufu wa wimbo huo umemsababishia kero kwa midume wakware ambao kila kukicha wanampigia simu. Hata hivyo Saida amesema hataki kuwasikia kwani amechoshwa na tabia za wanaume […]

Read More..

VIDEO: Ben Pol Ataja Sababu za Ebitoke kuwa...

Post Image

WAKATI picha zikiendelea kutapakaa katika mitandao ya kijamii kuhusu mkali wa RnB nchini, Bernard  Paul ‘Ben Pol’ kuwa na msanii wa vichekesho Ebitoke, hatimaye mwanamuziki huyo ameamua kufunguka kuhusu jinsi alivyokutana na kuzungumza pamoja na kutaja sifa za msichana huyo kuwa mke wa ndoa .

Read More..

Nay wa Mitego Akomaa na Young Killer Msodok...

Post Image

Baada ya Young Killer kutoa ‘dis track’ aliyoipa jina ‘True Boya’ kumhusu Nay wa Mitego ambaye alimchana kupitia ngoma yake mpya ‘Moto’ Nay ameijibu kwa kukazia alichokiimba kwenye ngoma yake ni ukweli uliopo mtaani kwa mashabiki na wadau wa muziki. Nay amefunguka na kusema kwamba hata diss track aliyoitoa Young Killer ni jingle kwani wimbo […]

Read More..

Tuwe Wasafi wa Roho na Mwili – Lulu

Post Image

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu ameoneshwa kukasirishwa na vitendo vya uchafu kwa baadhi ya waumini makanisani. Lulu amesema waumini wawapo makanisani na hata nje wanatakiwa kuzingatia usafi wa mwili na roho kwani kuna muda huwa wanasalimiana wanapokuwa kwenye ibada hivyo kama hawatazingatia usafi huenda ikaleta taabu katika kukamilisha […]

Read More..

Dada Hood; Ilikuwa Bonge la Chemistry Aisee...

Post Image

MOJA ya mradi uliopokelewa vizuri na mashabiki kwenye tasnia ya Bongo Fleva ni ule wa Dada Hood uliotayarishwa na mtangazaji wa XXL ya Clouds FM, Mamy Baby kwa ushirikiano na studio za The Industry. Dada Hood ni project iliyowakutanisha marapa sita wa kike wanaofanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva kama vile Cindy Rulz, Pink, […]

Read More..

Niachieni Mume Wangu, Sie Twazidi Kupendana...

Post Image

Staa kutoka tasnia ya filamu Bongo, Riyama Ally, amewatolea povu wanaomfuatilia na kupenda kuchokonoa ndoa yake, kuhusu tofauti ya umri baina yak na mumewe, kwa kusema yeye na mume wake hawaachani ng’oo. Riyama amesema amechoshwa na baadhi ya watu wanaomsakama kila siku kuwa ameolewa na mwanamume mwenye umri mdogo . “Huu ni uamuzi wangu kuolewa na […]

Read More..