-->

Daily Archives: June 27, 2017

Wapinzani Watapotea – Mrisho Gambo

Post Image

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amefunguka na kusema kuwa wapinzani wa Tanzania kama hawatabadili aina ya siasa wanazozifanya sasa basi watapotea kwani serikali ya awamu ya tano imepata Rais ambaye hataniwi na wala hatishiki. Gambo amesema kuwa wapinzani baadala ya kuanza kupiga porojo zisizo na msingi bali wajipange tu kumsaidia Rais John Pombe […]

Read More..

Wema Ajivunia Umbo Lake

Post Image

Malikia wa filamu Bongo Wema Sepetu ‘Tz Sweethert’  amejinadi kwamba huwa hamalizi kujitazama umbo lake alilopewa na Mungu huku akiwataka wale ambao hawajajaaliwa na wamshukuru pia Mungu. Kauli hiyo ameitoa kwenye mtandao wake wa wa kijamii baada ya hivi karibuni kutupia picha zilizochora shepu yake kucua utata huku wengine wakimnanga kwamba siyo ya aili na […]

Read More..

Lowassa Aachiwa kwa Dhamana

Post Image

Dar es Salaam. Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa ameachiwa kwa dhamana baada ya kuhojiwa kwa saa nne katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI). Lowassa ameondoka makao makuu ya polisi saa 8.15 na kuelekea nyumbani kwake. Akizungumza baada ya mahojiano hayo, Mwanasheria wa Chadema, Peter Kibatala amesema Lowassa amejidhamini mwenyewe na […]

Read More..

Roma Mkatoliki Akiri Alitelekezwa na Serika...

Post Image

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Roma Mkatoliki amefunguka na kusema kuwa ingawaje Serikali ilimsaidia mpaka kupatikana kwake kipindi alipotekwa lakini haikumsaidia chochote mpaka kupona kwake. Roma na wenzake wanne ambao walitekwa na watu wasiojulikana mwanzoni mwa mwaka huu na kupata majeraha makubwa kwenye mwili wake amekiri wazi kuwa Serikali haikumsaidia chochote mpaka anapona zaidi […]

Read More..

Hii ya Wolper kumkana Hamornize kali

Post Image

SIKU chache baada ya kusambaa kwa kipande cha video kinachomwenyesha mwigizaji Jackline Wolper, akitoa onyo kuwa anapozungumziwa mwanamuziki, Hamornize, basi yeye asihusishwe kwa kuwa wameshaachana, mlimbwende huyo amezua jipya.   Katika video hiyo Wolper anasikika akisema hataki kuzisikia habari za Harmonize kwani kwa sasa ana maisha yake, sasa bwana kumkana huko wala sio ishu, ishu […]

Read More..

Saida Karoli Atoa ya Moyoni kwa Darassa na ...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki wa asili, Saida Karoli amewamiminia sifa kibao wasanii wa Bongo Fleva, Ray C na Darassa. Saida ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya Orugambo, amesema hit song ya Darassa ‘Muziki’ ni vigumu kuja kushuka na kuwataka wasanii wengine hasa wa hip hop kuchukulia hilo kama somo. “Wimbo wa Darassa […]

Read More..

Lowassa Aitwa Ofisini kwa DCI

Post Image

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameitwa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Kamishna Robert Boaz. Lowassa akizungumza na Mwananchi leo (Jumatatu), amesema ameitwa kwa DCI lakini hajui anachoitiwa. Hata hivyo, amesema anahisi ni kauli yake kuhusu mashehe wa kikundi cha Uamsho cha Zanzibar wanaoshtakiwa kwa tuhuma ya ugaidi. “Ni kweli nimetakiwa […]

Read More..