-->

Daily Archives: June 29, 2017

Uwoya: Kuzaa Walizwe Wasio na Watoto

Post Image

STAA mwenye mvuto wa kipekee wa Bongo Muvi, Irene Uwoya amefunguka kuwa anachukizwa na ishu ya kuulizwa lini ataongeza mototo mwingine baada ya mtoto wake wa kwanza, Krish huku kukiwa na mastaa wengine ambao hawana hata mtoto wa kusingiziwa. Akizungumza na 3 Tamu, Uwoya alisema kuwa, hata kama yeye hatazaa tena, lakini ishu hiyo haita […]

Read More..

Kassim Mganga Afungukia Nyimbo Zake Kubamba...

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva, Kassim Mganga amesema muziki wake ambao unabeba utamaduni wa Pwani zaidi umekuwa ukipendwa sana kwenye harusi. Muimbaji huyo ameeleza kutokana na hilo ndio sababu ya yeye kutosikika zaidi katika muziki wa kisasa (Bongo Fleva). “Kwa mfano sasa hivi napata changamoto ya kupokea simu nyingi zaidi za harusi, kwa hiyo nimekuwa natengeneza […]

Read More..

Mwanafunzi Ajirusha Ghorofani

Post Image

Mtoto anayedhaniwa kuwa ni mwanafunzi wa  shule ya DYCCC iliyopo Chang’ombe jijini Dar es Salaam amejirusha kutoka ghorofa ya nne mpaka chini huku chanzo cha tukio hilo kikiwa bado hakijafahamika haraka. Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Temeke,  Andrew Satta amekiri kutokea kwa tukio hilo ingawa taarifa hizo zipo kwenye mitandao na hazijafikishwa kituoni hapo, lakini […]

Read More..

Lowassa Afika Polisi, Ulinzi Mkali, Atakiwa...

Post Image

Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amewasili katika makao makuu ya Jeshi la Polisi leo (Alhamisi) kama alivyoelekezwa siku ya Jumanne wiki hii baada ya kuhojiwa kwa saa nne. Lowassa amewasili saa 5:52 asubuhi akiwa ameambata na viongozi wengine wa Chadema akiwemo mwenyekiti wa chama […]

Read More..

Rais wa Simba Evans Aveva na Makamu wake Go...

Post Image

Rais wa Simba Evans Aveva na Godfrey Nyange wamepelekwa Rumande baada ya kukabiliwa na mashitaka matano ikiwemo ya utakatishaji fedha ambayo hayana dhamana. Washitakiwa wote kwa pamoja wanadaiwa kutakatisha fedha ambayo ni dola za Marekani 300,000 walizozipata kwa kughushi nyaraka kuonesha kwamba Club ya Simba imelipa deni la fedha hiyo kwa Aveva. Hakimu Mkazi Mkuu […]

Read More..

Siku Chache Baada ya Kifo cha Mkewe, Mzee Y...

Post Image

Zikiwa zimepita siku kumi tangu apate pigo la kufiwa na mkewe mdogo, Chiku Khamis, aliyekuwa Mfalme wa Taarab Bongo na Mkurugenzi wa Kundi la Jahazi Modern, Alhaj Mzee Yusuf kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu endapo ataoa mke mwingine. Mzee Yusuf amefunguka alipoulizwa na Gazeti la Risasi endapo hali yake itarejea kama kawaida, Mzee Yusuf […]

Read More..