Daily Archives: August 1, 2017

Mdukuzi Amenirudisha Sana Nyuma- Ray C

Post Image

Mkongwe wa muziki wa bongo fleva Rehema Chalamila ‘Ray C’ amedai kumfunga mwizi aliyedukua (hack) ukurasa wake wa Instagram uliokuwa na wafuasi zaidi ya laki tano na kusema kwamba hataweza kuvumilia wezi kuendelea kuwepo mitaani. Ray C amefunguka hayo siku chache zilizopita alipokuwepo kwenye Heshima ya Bongo fleva kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa kupitia […]

Read More..

Kesi ya Wema Sepetu Yaanza Kuunguruma Mahak...

Post Image

Kesi ya matumizi ya madawa ya kulevya inayomkabili malkia wa filamu nchini Wema Sepetu na wenzake wengine wawili imeendelea tena mchana wa leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya kuahirishwa mapema leo asubuhi. Katika kesi hiyo imeonekana kuanza kuwavutia watu kutokana na ushindani wa vifungu vya sheria kutoka kwa […]

Read More..

Mzazi Mwenzake Linah Afungukia Picha Tata

Post Image

Baba mtoto wa msanii Linah Sanga, Mchomvu amedai picha alizopiga msanii huyo akiwa mjamzito ni za kawaida na kwamba alihusika kwa asilimia zote kuhakikisha zoezi linaenda sawa ikiwa ni pamoja na kuandaa mavazi, ingawa kwa jamii ilionekana tofauti. Aidha ameongeza kuwa picha kama zile kwa Linah ambaye ni mwanamuziki hazina shida hata kidogo ingawa kwa […]

Read More..

Exclusive: Maskini Jini Kabula! Ukimsikia U...

Post Image

Ikiwa ni takriban miezi miwili na siku kadhaa tangu kuzagaa kwa ishu za kuugua ugonjwa wa afya ya akili ukiambatana na kuchanganyikiwa kwa mwigizaji wa sinema za Kibongo, hasa kupitia Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, hatimaye ameibuka na kunena mambo mazito yenye kuumiza juu ya sakata hilo. Miongoni mwa mambo anayodai kutendewa, Kabula alisema kuwa, […]

Read More..

Wema Ashindwa Kupokea Kadi CHADEMA

Post Image

Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani na Mjumbe wa Halmashauri Kuu CHADEMA, Frederick Sumaye amefunguka na kusema msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ameshindwa kupokea kadi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutokana na kuchelewa mahakamani. Frederick Sumaye amesema kuwa leo ilikuwa imepangwa Wema Sepetu pamoja na wenzake kukabidhiwa kadi za Chama na msanii huyo […]

Read More..