Daily Archives: August 2, 2017

Wolper Awapa Ngumu Kumeza Instagram

Post Image

Kupitia ukurasa wake wa Instagram,muigizaji Jacqueline Wolper ameandika kupitia ukurasa wake Instagram. Hivi ni nani asiekuwa na furaha instagram, kila mtu hujitia mapenzi mazuri, maisha mazuri, hakuna magomvi ndani ya nyumba wakati in reality watu wanalia kimyakimya tunawachora, wengine wanapigika wee bila kusahau mikopo kibao mpaka usiku wanaota wanakimbizana na marejesho lakini wakija insta wanajitia […]

Read More..

Mau Fundi na Filamu ya Mwalimu Masemele

Post Image

FILAMU ya Mwalimu Masemele iliyotayarishwa na muigizaji nyota Maulid Ally aka Maufundi imeingia sokoni leo na inasambazwa nchi nzima kwa maduka yote ambayo yanauza filamu za kibongo sinema hiyo imeandaliwa mkoani Morogoro lengo la mtayarishaji ikiwa ni kuwaweka pamoja wasanii wote. Akiongea na FC Mau amesema kuwa filamu hiyo ni nzuri na ina mafunzo kwa […]

Read More..

Mwanaume Wangu wa Sasa sio Serengeti Boy-Sh...

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya asiyeisha vituko Shilole amemtetea mwanaume wake mpya baada ya tuhuma za kutoka na serengeti boys. Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Shilole amesema kwa sasa yeye hana mahusiano na wanaume ambao amewazidi umri, kwani mpenzi wake wa sasa ni mwanaume halisi (gentle man) na amemfanya […]

Read More..

Mkojo wa Wema Wakutwa na Vimelea Vya Bangi

Post Image

MKEMIA, Elias Mulima, amedai mahakamani kuwa mkojo wa mrembo wa zamani wa Tanzania (2006), Wema Sepetu ulibainika kuwa anavuta bangi, baada ya kufanyiwa uchunguzi. Mulima ambaye anatoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, alidai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam alipokuwa akitoa ushahidi upande wa Jamhuri katika kesi ya kukutwa […]

Read More..

Mkojo wa Masogange Umebainika Kuwa na Heroi...

Post Image

Dar es Salaam. Mkemia kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Elias Mulima, ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa sampuli ya mkojo wa msanii Agnes Gerald maarufu kama Deal ama Masogange (28) umebainika kuwa na dawa ya kulevya aina ya heroin. Akitoa ushahidi leo Jumatano mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, shahidi huyo […]

Read More..

Waziri Dkt. Mwakyembe Kukutana na Wadau wa ...

Post Image

WAZIRI mwenye dhamana ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (MB) anatarajia kukutana na wadau wa tasnia ya filamu (Shirikisho la filamu Tanzania na vyama vyake) tarehe 4 August, 2017 siku ya ijumaa kuanzia muda wa saa 2:30 asubuhi hadi 7:00 mchana katika ukumbi wa kimataifa wa Mwalim Nyerere posta. Mhe. Waziri makundi […]

Read More..