Daily Archives: August 3, 2017

Shilole Awafunda Wasanii wa Kike

Post Image

MSANII wa Bongo Fleva nchini, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amewataka wasanii wa kike wanaoibuka katika soko hilo kutobweteka na kutegemea mteremko ili wasonge mbele. Shilole anayeendelea kutamba na wimbo mpya wa ‘Sitoi Kiki’, alisema muda mfupi aliokaa kimya bila kusikika, hakufulia kama inavyosemekana, badala yake aliwapa nafasi wasanii chipukizi wa kike ili nao wajitangaze sokoni. “Kuna […]

Read More..

Magufuli Ataka Kufuta Hati ya Shamba la Cha...

Post Image

Rais John Magufuli amesema anasubiri taarifa kutoka kwa kamishna wa ardhi ili aweze kuifuta hati ya shamba la Chavda na kulirejesha kwa wananchi. Amesema notisi ya ombi la kufuta shamba hilo tayari siku 90 zimemalizika hivyo inasubiri mchakato wa kamishna wa ardhi amuandikie barua. Ametoa taarifa hiyo leo Alhamisi, Agosti 3 baada ya Mbunge wa […]

Read More..

Halima aitaka Serikali ijibu hoja za kuporo...

Post Image

Waziri Kivuli wa Mipango, Fedha na Uchumi, Halima Mdee ameitaka Serikali kujibu hoja kuhusu kuporomoka kwa uchumi katika utawala wa Rais John Magufuli badala ya kuwadanganya wananchi. Mdee ambaye pia ni mbunge wa Kawe (Chadema) amesema hoja zilizotolewa na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe hazijajibiwa na Msemaji wa Serikali, Dk Hussein Abbas badala yake anatoa […]

Read More..

Irene Uwoya Anafaa – Dogo Janja

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva, Dogo Janja kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu mahusiano yake, na kutoa sintofahamu kuhusu kutoka kimapenzi na muigizaji wa filamu za kibongo Irene Uwoya. Akizungumza na mtandao wa East Africa Television, Dogo Janja ambaye mara nyingi hapendi kuzungumzia maisha yake binafsi, ameamua kusema kuwa msanii huyo anafaa. “Irene ni […]

Read More..

Nuh Mziwanda Abadili Dini, Amkacha Mke

Post Image

Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Nuh Mziwanda amethibitisha kurudi katika dini yake ya awali ya Ukristo na kutengana na mkewe. Kupitia XXL ya Clouds FM, Nuh ameeleza kuwa ni kweli alikuwa kanisani siku ya Jumapili kama taarifa zilivyozagaa katika mitandao mbalimbali kuwa ameonekana kanisani. “Nimerudi kwa Mungu wangu ili mambo yangu yaende vizuri maana […]

Read More..