Daily Archives: August 4, 2017

Mzee Majuto Afungukia Ombi Lake Kugonga Mwa...

Post Image

Msanii mkongwe wa vichekesho nchini Tanzania, Amir Athuman maarufu kama Mzee Majuto amesema amegundua jambo lililopelekea kunyimwa kununuliwa trekta na Rais mstaafu Jakaya Kikwete ni kutokana na kuomba kama mtu binafsi na wala siyo kwa kikundi maalum. Mzee Majuto amebainisha hayo hivi karibuni baada ya kupita takribani miaka minne alipoomba kufanyiwa kupitia kipindi cha Mkasi […]

Read More..

Mahakama Yatupa Maombi ya Wabunge Waliofuku...

Post Image

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya waliokuwa wabunge wa viti maalum wa Chama cha Wananchi (CUF), waliokuwa wakipinga kuapishwa kwa wabunge wateule. Wabunge hao walifungua maombi hayo wakiiomba mahakama itoe amri ya zuio kwa Bunge, lisiwaapishe wabunge hao wateule, hadi pale kesi yao ya msingi kupinga kufutwa uanachama wa […]

Read More..

Nyumba ya Profesa J Yakumbwa na Bomoabomoa

Post Image

Dar es Salaam. Nyumba za kifahari zilizojengwa pembezoni mwa Barabara ya Morogoro kuanzia maeneo ya Kimara mpaka Kiluvya jijini Dar es Salaam zimekumbwa na bomoabomoa ya aina yake. Pengine hilo linafahamika na wengi, lakini bomoabomoa hiyo haikumuacha salama Mbunge wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule ‘Profesa J’. Wamiliki wengi wa nyumba hizo hawajaanza kubomoa wenyewe kama […]

Read More..

Msami Afuta Kauli Yake, ‘Irene Uwoya Alin...

Post Image

Baada ya msanii wa Bongo Flava, Msami kutoa kauli kuwa aliyekuwa mpenzi wake, Irene Uwoya ndiye aliyemtongoza, muimbaji huyo ameamua kuomba radhi kwa kutoa kauli hiyo. Msamii amesema asingependa kuona mjadala huo unaendelea kwa sasa na anatamani mashabiki wa Irene waendelee kushabikia kazi zake na mashabiki wake pia waendelee kushabiki kazi za Irene, kwani ndio njia ya […]

Read More..

Majambazi Yapora Mamilioni Kiwandani, Matat...

Post Image

Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, linawashikilia watu watatu wanaodaiwa kuwa majambazi kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha na kupora Sh464 milioni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi alisema jana Alhamisi, Agosti 3 kuwa watu hao walikamatwa Julai 19 mwaka huu mkoani Singida walipokimbilia baada ya kufanya uhalifu. Kamanda Msangi amesema […]

Read More..

Wanaomuua Jini Kabula Wajulikana!

Post Image

WAKATI hali ya staa wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ ikiwa bado si shwari, watu ambao wanatajwa kuzidi kumuweka kwenye wakati mgumu na kumsukumizia kwenye kifo wamejulikana, Ijumaa linakupa habari hii ya kusikitisha. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Jini Kabula anayedaiwa kuwa na tatizo la kuchanganyikiwa, alisema anashangaa wakati yuko kwenye matatizo hayo mazito ndipo […]

Read More..

Mpoto Afungukia Kutembea Peku Peku

Post Image

Msanii wa muziki wa kughani nchini Tanzania, Mrisho Mpoto amefunguka kwa kudai hapendi kuwa ‘mpumbavu’ na ndiyo maana anatembea peku peku (bila ya kuvaa viatu) popote pale aendapo na hakuna mtu wa kumzuia kutofanya hivyo.   Mpoto amebainisha hayo baada ya kuwepo na tetesi kuwa alizuiwa kuingia kwenye nje za ughaibuni wakati anakaguliwa kwenye lango […]

Read More..