Daily Archives: August 5, 2017

Lulu Diva: ‘Milele’ Ilinipa Wakati Mgum...

Post Image

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Lulu Abasi ‘Lulu Diva’, amesema wimbo wake unaoitwa ‘Milele’, ndio uliompa wakati mgumu tangu alipoanza kujihusisha na tasnia ya uimbaji. Akizungumza hivi karibuni na MTANZANIA, Lulu Diva, alisema ugumu ulianza wakati wa kuandaa wimbo huo, hadi kukamilisha. Alisema licha ya kuwa wimbo huo ulimtambulisha vema katika tasnia ya muziki […]

Read More..

King Majuto: Mastaa Wamenikaushia Bwana!

Post Image

TANGA. JANA Alhamisi tulianza makala yaliyotokana na mahojiano maalumu na mwigizaji na mchekeshaji mkongwe nchini, Amir Athuman ‘Mzee Majuto’ ambaye alivumishiwa kifo, siku chache baada ya kuanza kuugua. Mwanaspoti lilimwibukia mwigizaji huyo nyumbani kwake Donge, jijini Tanga na kumkuta katika hali inayotia tumaini na ndio maana aliweza kufanya mazungumzo yaliyozaa makala haya. Mzee Majuto aliweka […]

Read More..

Rais Magufuli Awapatanisha Ruge na Makonda

Post Image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amewapatanisha Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda nakuwataka wafanye kazi kama pamoja. Tukio hilo la aina yake, limetokea leo AGOSTI 5, 2017 kwenye Kijiji cha Chongoleani, Tanga ambapo kulikuwa na tukio kubwa la uwekaji […]

Read More..

Hivi Ndivyo Ndoa ya Nuh Mziwanda na Nawal I...

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambaye hivi karibuni kumeibuka minong’ono kuwa ndoa yake na Nawal imesambaratika, amefunguka kuhusu hilo na kukiri kuwa kweli ndoa hiyo imekufa bila talaka, huku mke wake akiwa mbioni kuolewa na mtu mwingine. Nuh Mziwanda amefunguka kuwa mke wake huyo hajampa talaka lakini ameolewa na mtu mwingine, huku vuguvugu kubwa […]

Read More..

Ndikumana Amfungukia Irene Uwoya

Post Image

Mcheza mpira kutoka Rwanda Hamad Ndikumana ambaye ni mume wa muigizaji wa filamu za bongo Irene Uwoya, amekubali kumpa talaka Irene ili andelee na maisha yake baada ya kutengana muda mrefu huku akieleza kuchoshwa na skendo chafu za mke wake huyo. Kwenye ukurasa wake wa Instagram Ndikumana ameandika ujumbe akisema amekubali kumpa Irene talaka, hivyo […]

Read More..