Daily Archives: August 6, 2017

Ruby Afungukia Picha ya ‘Ujauzito’

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ruby ambaye hivi karibuni aliibua hali ya sintofahamu mitandaoni baada ya kupost picha akionyesha tumbo lake na wengi kuhisi ni mjamzito, amesema aliamua kufanya upumbavu kuhusu tukio hilo. Akizungumza kwenye kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na East Africa Television na East Africa Radio, Ruby amesema hana ujauzito kabisa […]

Read More..

Mwanariadha Alphonce Simbu ang’ara London...

Post Image

Mwanariadha Alphonce Simbu ameshinda medali ya shaba katika mbio ndefu za Marathon akimaliza nafasi ya tatu katika Mashindano ya Dunia ya Riadha London, Uingereza. Simbu alikimbia kwa saa 2:09:51 na kumaliza kwenye nafasi ya tatu nyuma ya Mkenya, Geoffrey Kirui aliyemaliza kwenye nafasi ya kwanza akikimbia kwa saa 2:08:27 na Muethiopia, Tamirat Tola aliyemaliza wa […]

Read More..

Ujumbe wa Diamond na Zari kwa Tiffah

Post Image

Familia ya Diamond na mpenzi wake Zari The Bosslady Jumapili ya leo wamepata furaha kubwa zaidi ambayo inawafanya wakumbuke miaka miwili iliyopita. Furaha ambayo wapo nayo familia hiyo kwa sasa ni kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mtoto wao wa kwanza Princess Tiffah ambaye anatimiza maiaka miwili ya kuzaliwa kwake. Kupitia mtandao wa instagram, wazazi hao […]

Read More..

Bongo Muvi Hatujielewi-Lulu

Post Image

Msanii wa maigizo aliyefanya vizuri na filamu ya ‘Mapenzi ya Mungu’, Elizabeth Michael ‘ Lulu’ amefunguka na kusema wasanii wa maigizo bongo wanafeli kutokana na kutojielewa ni kitu gani ambacho wanakitaka kwenye sanaa, badala yake wanafuata mikumbo. Lulu amefunguka hayo hivi karibuni akizungumza na wanahabari na kusema kuwa wasanii wengi wa Tanzania hawapendi kujishughulisha kutafuta […]

Read More..