Daily Archives: August 7, 2017

Baby Madaha Atoboa kisa cha ‘Jini Kabula’

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva, Baby Madaha amefunguka sababu zilizopelekea msanii Jini Kabula kupatwa na matatizo na kusema kuwa Jini Kabula aliamua kuachana na muziki wa dunia na kuanza kufanya muziki wa Mungu. Baby Madaha anasema msanii huyo alipojitoa kwenye kundi lao la Scorpion girl alipata rafiki mwingine ambaye walikuwa wakishirikiana katika mambo yao […]

Read More..

Uchaguzi kesho Kenya,milipuko yatokea

Post Image

Wakati Wakenya wanapiga kura kesho kuchagua kiongozi wa nchi yao, limetokea shambulio linalodaiwa la kigaidi kwa kulipuliwa nguzo ya umeme mkubwa wa kilovoti 220 na kusababia kuzima kwa umeme katika kisiwa cha Lamu na maeneo mengine ya Mpeketoni. Shambulio hilo lilitokea jana asubuhi lilisababisha kukosekana kwa umeme katika kisiwa hicho na maeneo ya jirani. Hata […]

Read More..

Kijiweni Production Kuonyesha Filamu ya ‘...

Post Image

Kijiweni Production Kuonyesha Filamu Agosti 11 mwaka huu, filamu iitwayo ‘T-Junction’ itaonyeshwa kwenye jumba la sinema lililoko Mlimani City jijini Dar. Habari hiyo imesemwa na kuthibitishwa na kampuni   ya Kijiweni Production. Habari kamili kuhusu Kijiweni Production Kuonyesha Filamu Akizungumza na wanahabari jijini Dar leo, Mwongozaji Mkuu wa Filamu hiyo, Amil Shivji, amesema kuwa filamu hiyo baada ya kuonyeshwa […]

Read More..

Video 5 Zilizowapa Mkwanja Wasanii Kwa Muda...

Post Image

VIDEO zimekuwa chanzo kipya cha mapato kwa wasanii wa Bongo Fleva na sasa hawategemei kuuza audio pekee kama ilivyokuwa hapo awali. Zamani msanii alitoa video ili kukamilisha utaratibu, lakini sasa imekuwa tofauti kwani msanii anapotoa wimbo analenga kuingiza fedha kwenye audio na video kwa pamoja. Mtandao wa Youtube ni soko kuu la wasanii kuuza video […]

Read More..

Msando Awafungukia Gigy Money na Amber Lulu

Post Image

Mwanasheria machachari na kipenzi cha wasanii wengi Albert Msando ambaye mara nyingi hujitokeza kuwatetea kwenye masuala ya kisheria, amefunguka kuhusu kuwa karibu na Gigy Money na Amber Lulu, ikiwa mmoja wao alishampa skendo chafu. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Afrika Radio, Albert Msando amesema anawakubali wasanii hao kwa sababu ni mabinti ambao […]

Read More..