Daily Archives: August 8, 2017

Hamisa Mobeto Ajifungua Mtoto Wakiume

Post Image

Mwanamitindo maarufu ambaye pia ni muuza nyago kunako video za wasanii Bongo, Hamisa Mobbeto,amejifungua mtoto wa kiume leo. Kupitia mtandao wa instagram mama yake mzazi  na hamissa  ameweka picha hii hapa chini na kuandika “Alhamdulilah mume wangu mie peke angu”

Read More..

Lulu Michael Afungukia Umuhimu wa Kiingerez...

Post Image

STAA wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amesema lugha ya Kiingereza ni muhimu zaidi kutumika katika filamu za kibongo, kwa kuwa wanatamani kufika mbali zaidi kimataifa. Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa mkutano uliowakutanisha na Waziri wa Habari, Lulu alisema kutumia maneno ya Kiingereza ‘subtitle’ kwenye filamu zao ni muhimu, kwa kuwa ndiyo lugha inayowasapoti […]

Read More..

Witness ‘Kibonge Mwepesi’ Afung...

Post Image

Msanii wa Muziki Bongo, Witness amedai kuwa wasanii wengi wanaibiwa kazi nje ya nchi kutokana hamna mfumo wa kufutilia. Muimbaji huyo amedai kutokuwepo kwa utaratibu wa kuwalipa wasanii mirabaha hapa nchini kunawafanya wengi wao kushindwa kufuatilia kitu kama hicho nje ya nchi. “Uhakika upo wasanii wengi wanapigwa nje ya Tanzania hawajui namna gani ya mapato […]

Read More..

Barack Obama Asema Haya kwa Wakenya

Post Image

Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, amewataka wananchi wa Kenya kufanya uchaguzi mkuu kwa amani bila vurugu . Kwa mujibu wa Shirika la Habari la AFP, Bw. Obama ametoa wito pia kwa viongozi wa Kenya kukataa vurugu na uchochezi na kuheshimu maamuzi ya wananchi. Kiongozi huyo wa zamani,ambaye baba yake mzazi ni mzaliwa wa […]

Read More..

Ben Pol Hataki Kuulizwa Kuhusu Ebitoke

Post Image

Msanii wa RnB Bongo, Ben Pol ameweka wazi kuwa kwa sasa hapendi kuulizwa maswali kuhusu Ebitoke, mtoto na mahusiano. Muimbaji huyo amesema kutokana na kazi zake ambazo anataka kuzifanya kwa sasa inamlazimu kufanya hivyo. “Kwa series ya kazi zangu zinazokuja ningependa sana vitu binafsi nisiviongelee zaidi au hadi pale nitakapokuwa tayari kuzungumzia Ben Pol anafanya […]

Read More..