Daily Archives: August 9, 2017

Esha Buheti Ajifungua Mtoto wa Kike

Post Image

Ikiwa imepita siku moja kwa mwanamitindo Hamisa Mobeto kupata mtoto wa kiume hapo jana, habari njema ni kuwa star mwingine kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Esha Buheti amefanikiwa kupata mtoto wa kike leo. Kupitia mtandao wa Instagram wa msanii huyo ameweka picha ya mtoto wake na kuandika “ALHAMDULILLAH ,,,,,, ITS A BABY GIRL, ASANTE MUNGU […]

Read More..

Shilole Ataja Tarehe ya Ndoa Yake

Post Image

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, amesema mipango ya ndoa yake sasa imeiva, anatarajia kufunga Oktoba, mwaka huu, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na MTANZANIA jana, Shilole alisema maandalizi yanaendelea na sasa zoezi lililobaki ni kutoa kadi za mwaliko kwa ndugu, jamaa na marafiki. “Mipango ya ndoa inakwenda vizuri, hivyo Oktoba mwaka […]

Read More..

Msanii Jaguar wa Kenya Ashinda Ubunge

Post Image

Msanii Charles Njagua maarufu kama Jaguar ambaye ameshinda kiti cha ubunge katika jimbo la Starehe nchini Kenya kufuatia uchaguzi mkuu ambao bado unaendelea, amewarudia wananchi na kuwashukuru. hinda Kupitia ukurasa wake wa Instagram Jaguar ameandika maneno akisema kuwa bila wao asingefanikisha hilo, huku akiwashukuru wapinzani wake kwa kukubali ushindi wake huo. “Hakuna linalowezekana bila Mungu, […]

Read More..

Sitaki tena wanawake- Nuh Mziwanda

Post Image

Msanii wa bongo fleva, Nuh Mziwanda amefunguka na kudai hataki kusikia tena habari za wanawake kwa sasa kwa kuwa yeye ni ‘single boy’. Mziwanda ameeleza hayo kupitia kipindi cha 5seleKt kutoka EATV baada ya kupita siku chache tokea aachane na mke wake waliofunga ndoa anayefahamika kwa jina la Nawal. “Sasa hivi nipo ‘single boy’ sitaki […]

Read More..

Makonda Agoma Kumuomba Radhi

Post Image

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amegoma kuomba msamaha kutokana na kudai kuwa hakukivamia kituo cha Clouds Media na walinzi wake kama ilivyosambaa bali watu hawakuelewa kilichotokea. Akiongea na waandishi wa habari leo Jumatano mbele ya viongozi Jukwaa la Wahariri (TEF) na Ruge, Makonda amesema, “Ndugu waandishi wa Habari na Wahariri kile […]

Read More..