Daily Archives: August 10, 2017

NASA Wataka Odinga Atangazwe Rais

Post Image

Muungano wa upinzani nchini Kenya, NASA, umeitaka Tume ya Uchaguzi nchini humo kumtangaza mgombea wake Raila Odinga kuwa mshindi wa Uchaguzi wa urais. Mmoja wa kiongozi wa muungano huo Musalia Mudavadi amesema wana ushahidi kutoka ndani ya Tume ya Uchaguzi kuwa, Odinga amepata kura Milioni 8, huku mpinzani wake rais Uhuru Kenyatta akipata kura Milioni […]

Read More..

Siku ya Kucheza Muziki wa Nyumbani Yatafutw...

Post Image

Dar es Salaam. Serikali imesema itafanya mazungumzo na viongozi wa muziki kujadili kuwa na siku maalumu ya muziki wa nyumbani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe alipokuwa akizungumza na waimbaji wa muziki wa injili ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kukutana na vikundi mbalimbali vya sanaa. Amesema […]

Read More..

Alikiba ni wa Dhahabu – Mkubwa Fella

Post Image

Meneja wa wasanii ambaye pia ni kiongozi wa kituo cha Mkubwa na wanawe Mkubwa Fella, amesema yeye hana tofauti na msanii yeyote, na kudai anaweza kufanya kazi hata na Alikiba ambaye wengi wanadhani ana tofauti naye kubwa. Mkubwa Fella ameyasema hayo kwenye Planet Bongo ya East Afrika Radio, na kusema kuwa hajawahi kugombana na Alikiba […]

Read More..

IKULU: Rais Magufuli Akutana na Bill Gates....

Post Image

Rais John Pombe Magufuli amefunguka na kumshukuru Mwenyekiti Mwenza wa taasisi ya Bill and Mellinda Gates Bw. Bill Gates kwa misaada mbalimbali ambayo inatolewa kupitia taasisi yake kwenye miradi mbalimbali nchini.

Read More..

Majambazi 13 Wauawa Kibiti, Wakutwa na Bund...

Post Image

Jeshi la Polisi Tanzania limesema wahalifu 13 wameuawa katika majibizano ya risasi katika eneo la Tangibovu lililopo katika kijiji cha Miwaleni Tarafa ya Kibiti mkoani Pwani ambapo polisi wamefanikiwa kukamata bunduki 8, pikipiki 2 na begi la nguo. Jeshi la Polisi limeendeleza jitihada zake kuhakikisha mkoa wa Pwani na maeneo yake ya jirani yanakuwa salama […]

Read More..

Tazama Video Mpya ya Roma Mkatoliki-Zimbabw...

Post Image

Rapa Roma Mkatoliki ametusogezea video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Zimbambwe’ katika wimbo huu Roma Mkatoliki amezungumzia mambo mengi kuhusu sakata la utekaji wake na mambo ambayo amepitia kwa siku tatu ambazo alikuwa ametekwa. Katika wimbo huu Roma Mkatoliki amegusia juu ya kauli ya Mbunge wa Nkasi (CCM), Ally Kessy ambaye alisema […]

Read More..

Lulu Atamani Kuzaa

Post Image

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameweka wazi kuwa kwa umri alionao, imefika wakati na yeye anatamani sasa kuzaa. Akizungumza na 4-Tamu hivi karibuni baada ya kubanywa maswali mawili matatu, Lulu hakusita kulizungumzia suala hilo la mtoto japo hakutaka kuweka wazi kuwa atazaa na nani. “Natamani tu na mimi nipate mtoto sema ndiyo hivyo bado […]

Read More..

Msami: Haikuwa Rahisi Kumbadili Chemical

Post Image

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Msami Giovani ameeleza jinsi alivyopata wakati mgumu kumbadilisha kimavazi Claudia Lubao ‘Chemical’ aliyezoeleka kwa mavazi yake ya kiume ili avae kikekike katika video ya wimbo wake wa So Fine. Akipiga stori na Risasi Vibes, Msami alisema aliona mtu anayefaa kufanya naye hiyo ngoma yake ni Chemical hivyo akambadili kimavazi ambapo kwenye video […]

Read More..