Daily Archives: August 12, 2017

Wimbo wa Roma Waibua Maswali

Post Image

SIKU mbili baada ya kuanza kusambaa mitandaoni na kuchezwa kwenye vituo mbalimbali vya redio, wimbo wa Msanii wa Bongo Fleva, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’, umeibua maswali mengi. Maswali yanaanzia kwenye jina la wimbo huo aliouita ‘Zimbabwe’, ambapo kwenye mashairi yake anasema ‘nakwenda Zimbabwe’, ambapo wengi wamejiuliza kwanini wimbo wa kuelezea kutekwa kwake aupe jina kama […]

Read More..

Bill Gates Ajiunga Instagram Akiwa Tanzania...

Post Image

Dar es Salaam. Tajiri namba moja duniani Bill Gates amejiunga Instagram akiwa nchini Tanzania na kurusha picha tatu ikiwemo aliyopiga na watoto akiwa Muheza mkoani Tanga. Gates ameijunga na mtandao huo wa kijamiii kwa jina la thisisbillgates na kurusha picha zake za kwanza tatu zote akiwa Tanzania. Gates katika mtandao huo aliandika hiki, “Hello kutoka Tanzania, […]

Read More..

Mke Wangu Ameolewa Kabla Sijampa Talaka –...

Post Image

Msanii wa muziki, Nuh Mziwanda amedai Baby Mama wake, Nawal alishinikizwa kuolewa na wazazi wake kabla hata ajampatia talaka. Muimbaji huyo amedai ingawa tayari aliyekuwa mke wake huyo ameshaolewa mtu mwingine lakini bado hajampatia talaka ya kusema kwamba wameachana. “Mimi sijaachana na Nawal, mpaka sasa mimi sijatoa talaka kusema mimi wewe sikutaki endelea na maisha […]

Read More..

Sikuwahi Kujua Roma ni Msanii-Mke wa Roma (...

Post Image

Mke wa msanii Roma Mkatoliki amefunguka na kusema kuwa kwa mara ya kwanza alikutana na Roma Mkatoliki kwenye sherehe za kumnio na kudai msanii huyo alitambulisha kama Ibrahim na kusema kipindi hicho hakujua kama Roma ni msanii. Mke wa Roma Mkatoliki Nancy amesema hayo jana kupitia kipindi cha Friday Night Live (FLN) na kusema alikuja […]

Read More..

Soma Magazeti ya Leo August 12 Hapa

Post Image

  Ni asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo August 12 2017 kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.   Chanzo:Millardayo.com

Read More..