Daily Archives: August 13, 2017

Makala: Watu 7 Maarufu Waliozungumza Kuhusu...

Post Image

Kipindi hiki cha utawala wa awamu ya tano chini ya uongozi wa Rais Dkt. John Magufuli, unapotaka kuzungumzia muziki wa wa Bongo Flava ni vigumu kuepuka kutaja la Diamond Platnumz na Alikiba. Muziki wao, ushindani na maneno ya hapa na pale yanatoa picha halisi ya game ya muziki huo ilivyo kwa sasa. Kutokana na uzito […]

Read More..

Wema: Sijawahi ‘Kummisi’ Kajala, Muna

Post Image

STAA wa filamu mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa hajawahi kuwakumbuka (kuwamis) waliokuwa mashoga zake wa damu, Muna Alphonse ‘Muna’ na Kajala Masanja na kudai alishawatoa kwenye akili yake. Akizungumza na Star Mix, Wema alisema kuna baadhi ya watu ambao hajaonana nao muda mrefu na anawakumbuka kila mara lakini kwa upande wake hajawahi […]

Read More..

Sitegemei Kiki za Instagram-Shilole

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Shilole amewatolea povu mashabiki zake kwa kuwataka kuacha kumkalili kuwa yeye bila ya kiki na kukaa mtupu hawezi kufanya vizuri katika kazi zake za kimuziki. Shilole amebainisha hayo kupitia kipindi cha Friday Night Live ‘FNL’ kutoka EATV baada ya baadhi ya mashabiki zake kumuona msanii huyo kutoa video ya […]

Read More..

Labda Nina Mimba ya Wizkid – Gigy Money

Post Image

Video vixen Bongo, Gigy Money amekanusha tetesi za kuwa na ujauzito. Gigy Money ambaye ameamua kuingia kwenye muziki na sasa anatamba na ngoma ‘Papa’, ameiambia FNL ya EATV kuwa ndoto yake kubwa ni kutoka kimapenzi na msanii Wizkid kutoka Nigeria pengine hapo ndipo utapatikana ujauzito. “Kipindi cha sasa hivi na Papa ndio nimetoa?, hapana, ujue […]

Read More..

Soma Hapa Magazeti ya leo August 13

Post Image

    Chanzo:Millardayo.com

Read More..