Daily Archives: August 14, 2017

Prezzo Akanusha Kutaka Kumuua Mke Wake

Post Image

NYOTA wa muziki nchini Kenya, Jackson Makini ‘CMB Prezzo’, amekanusha taarifa kwamba anamtishia kifo aliyekuwa mke wake, Michelle Yola. Wiki iliyopita kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya kulikuwa na taarifa kwamba Michelle anatishiwa kifo na mkali wa mavazi ‘King of Bling’ Prezzo, lakini msanii huyo amekanusha na kusema Michelle anatafuta kiki. “Niliweka wazi kuwa sina […]

Read More..

Fid Q Ajibu Hoja ya Mwakyembe

Post Image

Msanii Fareed Kubanda ambaye wengi humuita ‘concious rapper’ kutoka bongo, amejibu kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe aliyosema wasanii wasiimbe siasa, na kusema kuwa siyo rahisi kwa wasanii kuacha kitu kitu hicho. Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Fid Q amesema Waziri hakuwa sahihi kusema hivyo, kwani siasa ipo kwenye […]

Read More..

TID Ameathirika Kisaikolojia – Q Chief

Post Image

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Q Chief ameamua kumchana swaiba wake TID kwa kumwambia aachane na tabia ya kuzungumza vitu visivyomuhusu huku akimshauri kwa umri wake ni bora angejitahidi kuangalia jinsi ya kurudi kwenye muziki. Chief amesema TID ameathirika kisaikolojia kwani kwa hali ya kawaida msanii anayejitambua hawezi kuwa muda mwingi anafuatilia maisha ya mtu […]

Read More..

Kashfa Zamrudisha Shigongo Darasani

Post Image

Mtunzi wa vitabu mashuhuri Tanzania Erick James Shigongo, anatarajia kurudi shule na kusoma elimu ya shahada, baada ya kuhangaika muda mrefu kutafuta nafasi hiyo, huku akisukumwa na masimango na matusi ya mitandaoni. Kwenye ukurasa wake wa facebook Erick Shigongo ameandika waraka mrefu akielezea safari yake kitaaluma na furaha aliyonayo, ya kuweza kufikia ndoto yake ya […]

Read More..

Waumini wakimbia Kanisa kupisha bomoabomoa

Post Image

Waumini wa Kanisa la Freedom Pentecostal Bible Tanzania lililopo Kibamba kwa Mangi wamelikimbia kanisa lao baada ya kukumbwa na bomoabomoa na jana, ibada ya Jumapili ilihudhuriwa na waumini 10 tu. Kanisa hilo ni miongoni mwa nyumba 30 za ibada zilizokumbwa na bomoabomoa hiyo ili kupisha upanuzi wa Barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Kiluvya ikiwa […]

Read More..

Yasome Hapa Magazeti ya Leo August 14

Post Image

    Chanzo:Millardayo.com

Read More..