Daily Archives: August 21, 2017

Mh. Ester Bulaya Kuletwa Muhimbili na Ndege

Post Image

Hali ya Mbunge wa jimbo la Bunda Mjini Mh. Ester Amos Bulaya imezidi kuwa mbaya, kwa mujibu wa Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara Mh. Joyce Sokombi, ambaye yuko naye hospitali akimuuguza. Mh. Sokombi amesema pamoja na kwamba amepelekwa katika hospitali ya mkoa Mara Mbunge huyo hajapata nafuu, hivyo amepewa rufaa ya kuja hospitali […]

Read More..

Shilole: Skendo Kwangu Sasa Basi

Post Image

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amesema sasa ameamua kutulia kuepukana na skendo, kwa kuwa tayari yupo kwenye hatua za mwisho kuingia kwenye maisha ya ndoa. Kauli ya Shilole kudai anatarajia kuolewa hivi karibuni ilizua gumzo, huku baadhi ya watu wakidai si kweli, lakini mwenyewe amekiri kwa kusema mashabiki wake watarajie kumuona akivalishwa shela […]

Read More..

Roma Aikana CHADEMA

Post Image

Msanii Roma Mkatoliki ambaye anaimba muziki wa Hip hop kwenye game ya bongo, amekikana chama cha CHADEMA na kusema kuwa hajawahi kuwa mwanachama wa chama hicho kama ambavyo wengi wanaamini, na hajawahi kuwa mwanachama wa chama chochote. Roma ambaye hivi karibuni alikutwa na sakata la kutekwa na kuibua sintofahamu nyingi, amesema kwamba hajawahi kuwa mwanasiana […]

Read More..

Uwoya: Filamu za Bei Rahisi ni Tatizo!

Post Image

MASHABIKI wengi wa sinema za Kibongo wanaamini kuwa fani hiyo imekosa ubunifu na mwelekeo, hasa baada ya kifo cha nyota wake, Steven Kanumba ‘The Great’ ambaye alionekana kama mtu mwenye hamu ya kufanya mambo makubwa.   Lakini ifahamike kwamba, hata wakati Kanumba akiwemo, tasnia hiyo ilikuwa na changamoto nyingi, zote zikisababisha kutetereka kwa soko lake na mashabiki […]

Read More..

Roma Atoboa Siri ya Zimbabwe

Post Image

Rapa Roma amedai sababu za kusema anakwenda Zimbabwe  ni kutokana na ukweli kwamba nchi hiyo  ni moja kati ya nchi ambazo ziliguswa na matatizo aliyopata ikiwepo kutekwa na kuteswa kwa siku tatu mfululizo. Akizungumza leo kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Roma amesema ingawa tayari idea ya wimbo huo ilikuwepo lakini alitamani kuonyesha mama wa Afrika […]

Read More..

Msami Aufungukia ‘Step by Step’

Post Image

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Msami Giovan ‘Msami’, amesema katika kazi zake zote alizowahi kufanya hadi sasa, wimbo unaomvutia na kumpa hisia kubwa ni ‘Step by Step’. Akizungumza hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Msami alisema wimbo huo umekuwa ukimvutia kila anapousikia, hasa upande wa sauti za vinanda zilizotumiwa. Alisema kazi hiyo imekuwa ikimburudisha […]

Read More..

Mahakama yaamuru mke amuache mumewe kwa kut...

Post Image

Mahakama moja katika jimbo la Rajasthan nchini India imemuru mwanamke mmoja kuachana na mumewe wa ndoa, kwa sababu nyumba yao kukosa choo kwa muda mrefu. Jaji wa Mahakama ya Bhilwara, Rajendra Kumar Sharma, amesema kuwa kwa vile mume hakumjengea choo ndani ya nyumba, katika miaka mitano ya ndoa, basi huo ni ukatili wa kijinsia na […]

Read More..

Siwezi Kumuacha Ray – Johari

Post Image

Msanii nguli wa filamu ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu Bi. Blandina Chagula, ameweka wazi mahusiano yake na muigizaji mwenzake Vicent Kigosi, ambaye wanamiliki kampuni moja ya filamu. Akizungumza na mwandishi wetu Johari amesema hawezi kuvunja mahusiano yake na Ray ambaye kwa sasa yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na muigizaji mwengine Chuchu Hansa, kwani wana […]

Read More..

Bulaya Sasa hamishiwa Bugando

Post Image

Mbunge wa jimbo la Bunda Mjini, Esther Bulaya aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime alikokimbizwa Jana Jumapili baada ya kuzidiwa akiwa mahabusu ya polisi mjini Tarime, amehamishiwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando jjijini Mwanza kwa matibabu zaidi.   Katibu wa Chadema Mkoa wa Mara, Chacha Heche amesema kuhamishiwa Bugando kwa mbunge huyo kumewezekana […]

Read More..