-->

Daily Archives: August 22, 2017

SHILOLE: Kufanya bonge la harusi!

Post Image

SHILOLE msimchukulie poa kabisa. Alichopanga kufanya kama kikikaa sawa, itakuwa gumzo kwelikweli hapa jijini. Msanii huyo wa muziki wa Bongo Flava na mwigizaji wa Bongo Muvi amewaambia mashabiki na marafiki zake kwamba, wasiwe na haraka watulie kwanza kwani anaamini ndoa yake ambayo amedai iko njiani, itaacha historia. Amesema kuwa harusi yake itakuwa ya maana na […]

Read More..

Vanessa Penzini Tena?

Post Image

Msanii wa kike bongo kwenye game ya bongo fleva anayekimbiza kimataifa Vanessa Mdee, ameonekana kupata mbadala wa aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu Juma Jux, kwa kuanza kumposti mwanaume mwingine huku kukiwa na ‘caption’ zenye ujumbe wa mahaba. Kwenye ukurasa wake wa Instagram siku chache zilizopita Vanessa Mdee alimposti msanii wa Nigeria Run Town na […]

Read More..

Nuh Mziwanda Awalilia Mashabiki Wake

Post Image

‘STRESS’ za kumwagana na aliyekuwa mke wake ambaye pia ni mzazi mwenziye, zinaendelea kuutesa ubongo wa mwanamuziki wa Bongo fleva, Nuh Mziwanda, ambapo hivi karibuni ameamua kuomba ushauri kwa mashabiki wake, juu ya mwanamke gani atamfaa katika maisha yake. Nuh ambaye ni baba wa mtoto mmoja aliyezaa na aliyekuwa mkewe, Nawal, akiwa kwa sasa ni […]

Read More..

Hali ya Bulaya bado tete

Post Image

Dar es Salaam. Hali ya Mbunge wa Bunda Ester Bulaya aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH ) imeelezwa kuwa bado ni tete. Hali hiyo ni kufuatia tatizo la kupumua alilolipata baada ya kuzidiwa akiwa mahabusu ya Kituo cha Kati cha Polisi mjini Tarime. Mwananchi lilifika katika wodi namba 18 Sewahaji alipolazwa mbunge huyo, lakini […]

Read More..

Alikiba Ajibu Mashairi ya Diamond?

Post Image

Baada ya verse ya Diamomd Platnumz kusikika katika remix ya ngoma ya Fid Q ‘Fresh’, kumekuwa na tweets kutoka kwa Alikiba ambazo bado hazijaeleweka iwapo zinajibu kile alichoimba Diamond katika ngoma hiyo. Katika ngoma hiyo ya rapper huyo mkongwe kuna mIstari Diamond anasema, “Viuno vidogo wanataka pensi ya Pepe Kalle, siwalitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalale”. […]

Read More..