-->

Daily Archives: August 24, 2017

Masogange: Situmii uchawi wanakuja wenyewe

Post Image

BINTI mwenye haiba ya aina yake, Masogange ametamka kwamba sasa ameamua kuachana rasmi na kuuza sura kwenye video kwavile baby wake hapendi. Lakini anadai kwamba kumbe utoto ndio ulikuwa unamdanganya. “Wakati nauza sura kipindi kile nilikuwa na akili ya kitoto, yaani nilikuwa nataka na mimi niwe Staa nijulikane. Nilikuwa nikiona wale dada zetu wanavyoonekana kwenye […]

Read More..

Jackline Wolper Kwenda Jela

Post Image

Msanii wa filamu za bongo ambaye kwa sasa ni mjasiriamali mkubwa, Jackline Wolper, amekula kiapo cha kwenda jela iwapo mtu yeyote atamtolea maneno machafu mzazi wake. Akizungumza na Big Chawa wa Planet Bongo ya East Africa Radio, Wolper amesema yeye kwa kawaida ni mpole lakini iwapo mtu atafanya kitu kibaya juu ya familia yake, hatofikiria […]

Read More..

Madee Amchana Roma Mkatoliki

Post Image

Rais wa Manzese, Madee amefunguka kwa kumchana rapa Roma Mkatoliki aache tabia yake ya kupenda kuichunguza simu ya mke wake na kuitumia kila mara kwani ipo siku yatakuja kumkuta makubwa asipoangalia. Madee amebainisha hayo baada ya msanii Roma kudai hamiliki simu ya kiganjani tokea alipopatwa na matatizo ya kutekwa na watu hivyo sasa anatumia simu ya mke wake […]

Read More..

Senga Atoboa Siri Anavyopiga Mkwanja

Post Image

MCHEKESHAJI mkongwe, Ulimboka Mwakisikye ‘Senga’ amesema kwa sasa sanaa imekuwa ngumu hivyo kitu pekee kinachomuingizia pesa ni kufanya vichekesho vya majukwaani huko mikoani pamoja na kualikwa kwenye shughuli mbalimbali za kijamii hivyo kulipwa chochote kidogo ili kuyasongesha maisha. Akipiga stori na mwandishi wetu hivi karibuni kupitia simu ya mkononi, Senga ambaye alidai yupo wilayani Kahama, […]

Read More..

Kuna Wasanii Wanabebwa na Media – Roma

Post Image

Msanii wa hip hop Bongo, Roma amekiri kuwa kuna baadhi ya wasanii wanapata upendeleo wa ngoma zao kupata airtime katika media. Rapper huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Zimbabwe’ ameiambia The Playlist ya Times Fm kuwa mara nyingi siyo kitu kizuri kwani pale msaada huo unapofika kikomo msanii hupotea kwenye muziki. “Yeah, off […]

Read More..

Soma Hapa Magazeti ya Leo August 24

Post Image

  Chanzo:millardayo.com

Read More..

Steve Nyerere ataka mvutano wa Diamond, Ali...

Post Image

Msanii wa filamu Bongo, Steve Nyerere ametoa ushauri kwa kile kinachoendelea kati ya Diamond Platnumz, Alikiba na Ommy Dimpoz kwenye mitandao ya kijamii. Wasanii hawa wa Bongo Flava wamekuwa wakitupiana maneno yenye mafumbo katika mitandao ya kijamii tangu Diamond aliposhirikishwa katika remix ya ngoma ya Fid Q ‘Fresh’ ambayo ilitoka hiyo juzi na kudaiwa kuna […]

Read More..