-->

Daily Archives: August 30, 2017

Machinga Wahahaa Kuitafuta Filamu ya Bei Ka...

Post Image

BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu staa wa filamu Bongo Simon Mwapagata ‘Rado’ amerudi kwa nguvu zote akija na filamu kubwa ijulikanayo kwa jina la Bei Kali, filamu hiyo ambayo imezua simulizi mitaani huku wapenzi wa filamu wakiomba kampuni itakayosambaza sinema hiyo ya Papazi Entertainment iitoe haraka. Mmoja kati ya wauzaji wa filamu za […]

Read More..

Dogo Janja Amfungukia Irene Uwoya, ‘Nampe...

Post Image

Msanii wa Bongo Flava, Dogo Janja amezungumzia taarifa zilizokuwa zikidai kuwa anatoka kimapenzi na Muigizaji wa filamu Irene Uwoya. Rapper huyo ambaye ameachia ngoma mpya leo ‘Ngarenaro’ amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds Fm kuwa ukaribu wao ulikuwa wa kawaida tu na hakuna kilichokuwa kinaendelea kati yao ingawa watu waliwachukulia vinginevyo. “Nampenda sana yule dada […]

Read More..

Amini Afungukia Kutompongeza Linah

Post Image

Msanii wa Bongo Flava, Amini amefunguka mambo kadhaa kuhusu aliyekuwa mpenzi wake Linah tangu alipojifungua. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake ‘Yamoyoni’, ameiambia XXL ya Clouds Fm aliposikia Linah amejifungua alimuombea tu ila hakuweza kumpatia zawadi yoyote. “Sikuwahi kumpongeza wala kumpelekea zawadi kwa sababu sifahamu anapokaa, vile vile sina mawasiliano naye. […]

Read More..

Chid Benz: Tupac yupo Cuba na Ninawasiliana...

Post Image

Chidi Benz azua jipya mjini, adai 2Pac yuko hai na anaishi nchini Cuba, na wanaongea kila siku na tayari ameshafanya naye ngoma itakayotoka hivi karibuni. Chidi Benz ambaye kwa sasa anazungumzwa sana kwa skendo za utumiaji wa madawa ya kulevya, akiongea na  eNewz alisema kuwa  “Maneno yanayoongelewa kwamba 2Pac amefariki siyo kweli, Kila siku ninaongea na […]

Read More..

Wolper Hafikirii Kabisa Kujibusti

Post Image

JACQUILINE Wolper, mmoja ya nyota wa kike wa filamu nchini, ametamba anajiamini kwa urembo alionao wa rangi na sura na kwamba hana mpango wa kujitengeneza. Wolper alisema kuwa hana muda wa kutumia dawa yoyote kukuza makalio yake au chochote mwilini mwake kama kinadada wengine wafanyavyo kwani anaukubali uumbaji wa Mungu. “Kuna watu wanajibusti mzee, utaona […]

Read More..

Alikiba Atoboa sababu ya Baraka The Prince ...

Post Image

Baada ya muda mrefu wa maswali juu ya sababu iliyomfanya msanii Baraka The Prince kutoka kwenye lebo kubwa ya muziki ambayo ilimsaini ya Rockstar4000, hatimaye mmoja wa mabosi wa lebo hiyo msanii Alikiba aweka wazi kila kitu. Akizungumza kwenye Planet bongo ya East Africa Radio alipokwenda kutambulisha wimbo wake mpya wa ‘seduce me’, Alikiba amesema […]

Read More..

RC Makonda kasitisha bomoabomoa ya zaidi ya...

Post Image

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo August 30, 2017 ametembelea Bonde la Mto Msimbazi lililopo katika Wilaya ya Kinondoni ambako wananchi walitangaziwa kuwa nyumba zao zaidi ya 17,000 zitabomolewa. RC Makonda amewaondoa hofu wananchi ambao walikuwa na hofu ya kubomolewa akisema kuwa hakuna atakayefanya hivyo kwa kuwa hawakufuata utaratibu na kuagiza […]

Read More..