-->

Monthly Archives: August 2017

Magazeti ya leo Jumanne August 29, 2017

Post Image

Chanzo Millardayo.com

Read More..

Wema Awacharukia Ali Kiba, Diamond

Post Image

MREMBO wa Bongo, aliye pia mwigizaji Wema Sepetu amewatolea povu waimbaji wa Bongofleva, Diamond na Ali Kiba kwa kuwaita ‘Wendawazimu’ na kuwataka wakue. Wema alizungumza hayo wakati wa uzinduzi wa muvi yake katika ukumbi wa Mlimani City juzi, akisema waimbaji hao wanampa ugumu kwani anapenda kazi za Kiba na kazi za Diamond, lakini amachukizwa na […]

Read More..

Msanii nguli wa filamu wa Marekani atua Ser...

Post Image

Arusha. Msanii wa filamu maarufu duniani na raia wa Marekani, Cynthia Rothrock, maarufu Lady Dragon, ametua kutalii katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Cynthia aliyewahi kushinda tuzo tano za filamu duniani kupitia filamu zake za mapigano, amefikia katika hoteli ya Grumeti Serengeti inayomilikiwa na bilionea wa Marekani, Paul Tudor. Msanii huyo ambaye ameigiza zaidi ya […]

Read More..

Aunt Ezekiel Afungukia Ukimya Wake

Post Image

Muigizaji mahiri kutoka bongo, Aunty Ezekel amekiri kuwa suala la yeye kuingia kwenye suala zima la malezi ndiyo chanzo cha ukimya wake na kubainisha kuwa kwani kipindi hicho ndiyo wakati ule mauzo ya soko la filamu yaliporomoka nchini. Akizungumza kwenye zulia jekundu mapema wiki hii katika uzinduzi wa filamu ya muigizaji mwenzake Wema Sepetu, Aunt amesema hakuwa […]

Read More..

Ukiwa Staa Unatafuta Marafiki wa Faida – ...

Post Image

NYOTA wa filamu Bongo Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’ amesema kuwa kwa mtu anayetazama mbele kila hatua anayopiga ili asonge mbele lazima abadilishe marafiki kufikia ndoto zake na kama itatokea mtu akabaki na kuendelea na marafiki wa awali hatofanikiwa katika harakati zake. “Kuna wakati watu wengi hukosea kuishi kwa mazoea unaweza kusikia kuwa Gabo alikuwa rafiki […]

Read More..

Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani Kisa Watoto Wake

Post Image

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kwa kusema, hana tabia ya kutelekeza watoto kama mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva anavyofanya. Kiba ambaye wiki iliyopita alikuwa nchini Marekani kikazi, alifungukahayo alipokuwa akipiga stori mbili tatu na Ijumaa Wikienda kuhusiana na maisha yake ya kimuziki. Kiba alisema […]

Read More..

Idris Sultan Amvulia Kofia Joti

Post Image

Mchekeshaji na Muigizaji maarufu nchini Tanzania, Idris Sultan ameweka wazi kwa kuwambia mashabiki wake waache kumfananisha na mchekeshaji mkongwe, Joti kwani kufanya hivyo ni kumvunjia heshima yake. Idris Sultan amesema amekuwa akisikia minong’ono kutoka kwa wadau wa burudani wakimfananisha na Joti kitu ambacho yeye binafsi hakipendi kwani hadi kufikia hapa alipo ni kutokana na kujifunza […]

Read More..

Latifa Ilimtuliza Mwenye Kichaa – Mb Dog

Post Image

Msanii Mb Dog amesema kwamba wimbo wake wa Latifa ulimpa historia kubwa kwenye maisha yake, ikiwemo kumtuliza mwanamke ambaye alikuwa na kichaa cha mimba. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Mb Dog amesema wakati ametoa wimbo huo na kufanikiwa kufanya vizuri, alienda Mwanza kwenye show na kukutana na mzee mmoja ambaye alimfuata akimuomba […]

Read More..

Asante kwa Kunikubali Mh. Waziri J. Makamba...

Post Image

STAA wa Series Comedy kali ya Side wa Kitonga Said Bakary Mbelemba aka Side Jangala Junior inayotamba katika Luninga ya E Tv amefurahishwa sana na kukubalika January Makamba-Waziri wa Nchi, Ofisi ya M/Rais, Muungano na Mazingira kupitia Side wa Kitonga ambayo inakimbiza kupitia kituo chako cha Luninga cha E Tv. “Unajua unakutana na mtu mkubwa […]

Read More..

Snura, Ngassa Mnazuga?

Post Image

WAHENGA wanasema, lisemwalo lipo na kama halipo basi laja. Si mnakumbuka kipindi fulani hivi, staa wa filamu na muziki wa mduara, Snura Mushi na winga nyota wa zamani wa Yanga aliyepo Mbeya City, Mrisho Ngassa picha zao za kiutu uzima ziliwahi kuvuja na kuvumishwa kuwa ni mtu na mtuwe? Hata hivyo jamaa hao walituzuga hakuna […]

Read More..

Matatizo Yamenifikisha Hapa-Wema Sepetu

Post Image

Malkia wa filamu bongo, Wema Abraham Sepetu amefunguka na kudai hawezi kubweteka chini na kushindwa kufanya kazi zingine kwa sababu ana kesi mahakamani huku akiamini kwamba matatizo wameumbiwa wanadamu na Mungu ndiye anayepanga. Akizungumza na wanahabari kwenye zulia jekundu wakati wa uzinduzi wa filamu yake mpya ‘Heaven Sent’ Mlimani City Century Cinema, Wema amesema matatizo […]

Read More..

Shamsa Atamani Kumfuata Mzee Yusuf

Post Image

STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa, anatamani kumfuata aliyekuwa staa wa Taarab, Mzee Yusuf kwa kuokoka kwani anahisi siku za kufa zimekaribia. Akizungumza na Risasi Jumamosi, Shamsa alisema kuwa, kila kukicha anajikuta anatamani kuokoka na kuacha kila kitu anachokifanya, abaki kusali tu kwani ana hofu sana ya Mungu, lakini hajui ataanzaje, ingawa […]

Read More..

Wema Anatutoa Shimoni – Aunty Ezekiel

Post Image

Msanii wa filamu bongo Aunty Ezekiel, amejivunia kitendo cha msanii mwenzake ambaye pia ni rafiki yake mkubwa Wema Sepetu, kuzindua filamu ya Heaven Sent kwa aina ya kipekee, na kusema huenda likawa tumaini jipya kwa bongo movie. Akizungumza kwenye uzinduzi wa filamu hiyo uliofanyika katika ukumbi wa sinema jijini Dar es salaam, Aunty Ezekiel amesema […]

Read More..

Country Boy Afunguka Kulelewa na Kajala (VI...

Post Image

Rapa Country Boy ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake ‘Turn Up’ akiwa na mkongwe Mwana FA amefunguka na kusema kuwa msanii wa filamu nchini Kajala Masanja anamlea vizuri na kusema kwake ni kama mama. Country Boy anasema yeye na Kajala wanafahamiana muda mrefu na kudai kuwa hata wimbo wake wa kwanza kufanya Kajala ndiye […]

Read More..

Afande Aibuka Baada ya Kutajwa kwenye ̵...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki wa hop hop, Afande Sele baada ya kujwa kwenye wimbo Zilipendwa wa WCB, amedai amependezwa na kitendo hicho kwa mpongeza Diamond Platnumz. Wimbo ‘Zilipendwa’ uliowahusisha wasanii wote wa WCB, umeibua maswali mengi kwa baadhi ya mashabiki kutokana na maudhui ya wimbo huo kwa kuwataja baadhi ya mastaa wa zamani akiwemo Afande […]

Read More..

Kwa Nini Wema Sepetu Anatusua?

Post Image

Mama yake mzazi afunguka siri nzito Na KYALAA SEHEYE Unakumbuka Top 5 ya Miss Tanzania mwaka 2006? Kama kumbukumbu zimeondoka nitakukumbusha. Walikuwa ni Irene Uwoya, Wema Sepetu, Sarah Kangezi, Jokate Mwegelo na Lisa Jensen. Miss Tanzania iliyofunika pengine kuliko mwaka wowote tangu kuanzishwa kwa mashindano hayo. Wakati walimbwende hao wakipanda jukwaani haikuwa rahisi kumbashiri mshindi. […]

Read More..

Imenichukua Muda Kujikubali – Ebitoke

Post Image

Msanii wa vichekesho nchini Ebitoke amefunguka na kusema imemchukua muda mrefu sana yeye kuikubali hali yake kama msanii wa kuchekesha na muonekano wake huo aliyonao sasa anapokuwa anachekesha. Ebitoke amesema kuwa mwanzo yeye alikuwa ni muigizaji wa filamu ambaye alikuwa anaigiza ‘serious movie’ na hakutegemea kama angekuja kuwa mchekeshaji kwani hakuwahi kujua kama yeye ni […]

Read More..

Magazeti ya Leo Jumamosi, August 26

Post Image

    Chanzo: Millardayo.com

Read More..