Daily Archives: September 2, 2017

Roma Mkatoliki Aibukia Kenya

Post Image

Rapa Roma Mkatoliki ambaye amerudi na ujio wa nguvu na ngoma zake ‘Zimbabwe’ na ‘Hivi ama vile’  baada ya kukaa kimya muda mrefu baada ya kupata matatizo ya kutekwa sasa ameibukia nchini Kenya. Roma Mkatoliki pamoja na Stamina ambao kwa pamoja wanaunda umoja wao unaofahamika kwa jina la ‘Rostam’ wameanza kupiga hatua mbele zaidi ya […]

Read More..

Seduce Me, Zilipendwa ni shida mtaani

Post Image

KWA vijana wa kizazi kipya na mashabiki wa Alikiba na Diamond kuna maneno mawili tu yanayotamba Seduce na Zilipendwa. Seduce ni wimbo mpya wa Kiba unaomaanisha ushawishi na Zilipendwa ni wimbo wa Diamond anaokumbushia mambo ya zamani kwa staili ya kisasa. KAMA ULIKUWA HUJUI FRESHI REMIX NI wimbo wa Fid Q ambao amewashirikisha Diamond na […]

Read More..

Zari Awajibu Wanaodai Hamkumbuki Ivan

Post Image

AMEWAJIBU! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mpenzi wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz, Zari kutembelea kaburi la aliyekuwa mumewe marehemu Ivan Semwanga ‘Ivan Don’, Kayunga, jijini Kampala, Uganda. Mrembo huyo ambaye amekuwa akipata wakati mgumu kutoka kwa watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii ambao wamekuwa wakimtuhumu kutomkumbuka mume wake huyo wa zamani, […]

Read More..

VIDEO: Jux Kurudiania na Vanessa?

Post Image

Msanii Jux amefunguka na kuweka wazi msimamo wake endapo mpenzi wake wa zamani Vanessa Mdee akitaka kurudi na waishi kama zamani na kusema kwa sasa hajui hivyo hawezi kuhukumu wala kusema lolote juu ya hilo. Jux anasema ni bora asubiri wakati uongee kuliko kusema jambo ambalo hata yeye mwenyewe halifahamu na kusema anaweza kusema haiwezekani […]

Read More..

Goodluck Gosbert Anazidi Kupasua Anga

Post Image

Jina la nyota wa muziki wa Injili Nchini Goodluck Gozebert maarufu kama ‘Lollipop’ sio geni masikioni mwa wengi hasa kutokana na aina ya muziki anaoufanya. Kwa namna moja au nyingine, amechangia kwa kiasi kikubwa kubadili mahadhi ya muziki wa Injili nchini toka ule uliokuwa umezoeleka zamani na kuwa wa kizazi kipya yaani ‘Bongo Gospo’. Ukarimu, […]

Read More..

Aika: Mnaosubiri Niolewe na Nahreel Mtasubi...

Post Image

BAADA ya tetesi kuzagaa kuwa mwanadada Aika Mariale na mpenzi wake wa siku nyingi, Nahreel, wanaounda kundi la muziki wa kizazi kipya la Navy Kenzo, wapo kwenye mipango ya ndoa, mwanadada huyo amefunguka kuwa hakuna kitu kama hicho kwa sasa. Akipiga stori na Mikito Nusunusu, Aika wa nahreel alisema watu  wanapenda kuzusha mambo wasiyoyajua na suala hilo […]

Read More..

Gabo Zigamba ni kirusi kwenye tasnia ya fil...

Post Image

Msanii wa filamu aliyewahi kufanya vizuri na tamthilia ya Siri ya Mtungi, Duma, amefunguka kwa kudai kuwa muigizaji bora wa filamu 2016 kupitia tuzo za EATV Awards, Gabo Zigamba ni kirusi katika tasnia ya filamu. Duma amedai muigizaji huyo hawezi kuvaa vizuri na kujiweka kistaa hali ambayo inachafua tasnia ya filamu. “Gabo ni kirusi, popote […]

Read More..

Ben Selongo Aikacha Bongo Movie?

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu za vichekesho nchini, Ben Branco Selengo amefunguka na kusema sasa ameamua kuimba muziki wa singeli huku akiwataka wakali wa singeli kujipanga kwani amekuja kuchukua pesa zilizopo kwenye muziki wa singeli. Ben anasema kwenye filamu hakuna msanii ambaye anaweza kuchukua nafasi yake hivyo ameamua kwenda kwenye muziki kutafuta mkwanja huku akidai kuwa […]

Read More..