Daily Archives: September 3, 2017

Lulu: Aliyepewa Kibali na Mungu Huonekana A...

Post Image

MUIGIZAJI nyota wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo  kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa somo kwa mashabiki zake. Soma alichokisema hapa chini Umeshawahi kukutana na watu wa aina hii; 1.SHULENI; Mwanafunzi nayependwa sana Na waalimu na staffs wa shule…anaaminiwa zaidi Hata kwenye baadhi ya mambo muhimu ya kishule…Ila kwa wenzake anaonekana kama hastahili na […]

Read More..

Wakunizima Hajazaliwa -Wema Sepetu

Post Image

Malkia wa filamu Bongo , Wema Abraham Sepetu ametupa jiwe gizani ambalo bado halijajulikana ni kwenda kwa mtu gani na kumwambia bado wa kumshusha hajazaliwa kwani yeye alivyo ni majaaliwa kutoka kwa maulana na siyo kujitakia. Wema ametupa jiwe hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kusema kuna mtu kamuharibia siku hivyo na kumwambia kwamba […]

Read More..

Kauli ya Idris baada ya Wema Sepetu kuzingu...

Post Image

Katika uzinduzi wa viatu vya ‘SultanXforemen’, mchekeshaji Idris Sultan ametaja sababu ya mrembo Wema Sepetu kutofika katika uzinduzi huo. Akiongea na Bongo5, Idris amesema alimualika mrembo huyo ambaye alikuwa date wake katika uzinduzi wa filamu ya ‘Heaven Sent’ wikiendi iliyopita na ila mrembo huyo hajafika kutokana na  udhuru aliyopata hivyo akampa ridhaa. “Nilimualika Wema sema […]

Read More..

Video: Baada ya Tupac Chid Benz amvuta Jay ...

Post Image

Baada ya sakata la kusema amefanya collabo na Tupac na kuleta mtafaruku mkubwa kwa mashabiki huku wakimtolea maneno makali wakisema amesha athirika kiakili kwa madawa ya kulevya kwa kuwa Tupac ni marehemu, sasa Chid Benz kuja na collabo na Jay Z. Akifanya mahojiano kwenye kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na East Africa Television and […]

Read More..

Ujumbe mzito wa Shamsa Ford kwa Chidi Mapen...

Post Image

Mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo,  Shamsa Ford  ametimiza mwaka mmoja wa ndoa yake na mumewe mfanyabiashara Rashidi Saidi maarufu kama Chidi Mapenzi. Katika kusherekea mwaka  mmoja huo , Shamsa amempa  mzito mumuwe kuhusu  ndoa yao, yenye mwaka mmoja. “Leo tumetimiza mwaka mmoja wa ndoa yetu.Tumepitia changamoto nyingi sana kwa muda mfupi wa ndoa yetu […]

Read More..