Daily Archives: September 4, 2017

Wolper Avunja Kiapo Alichokula

Post Image

MKALI kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Jacqueline Wolper amevunja kiapo alichokula kwamba kamwe hatamwanika mpenzi wake kwenye mitandao baada ya kujiachia kimahaba bila kuogopa chochote. Siku kadhaa zilizopita, Wolper alipozungumza na gazeti ndugu na hili, Risasi Jumamosi ambapo alisema kuwa, baada ya kuachana na mpenzi wake wa zamani waliyekuwa wakijiachia mitandaoni alisema endapo atapata mpenzi mwingine kamwe hatamwanika, […]

Read More..

Dogo Janja Aponea Chupuchupu Kupotezwa

Post Image

MSANII wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chande ‘Dogo Janja’ amesema moja ya tukio ambalo hawezi kulisahau kwenye maisha yake ni siku ambayo yeye na washkaji zake walipokwenda kuiba kwenye ‘godauni’ kasha mwenzao mmoja akapotea. Staa huyo wa singo ya Kidebe, ameliambia Juma3tata kuwa tukio hilo lilitokea zamani wakati anahangaika kutoka kimuziki nyumbani kwao Ngarenaro mkoani, Arusha […]

Read More..

Kajala: Sina Mpango wa Kuolewa Tena

Post Image

UKITAKA kutaja majina ya mastaa wakali katika kiwanda cha Bongo Muvi, huwezi kuacha jina la muigizaji Kajala Masanja ‘Kay’ ambaye ni mmoja wa wanawake wakali wa tasnia hiyo. Kajala ambaye ni mama wa mtoto mmoja ana historia kubwa mpaka hapo alipo hivi sasa na ukitaka kujua mengi fuatilia katika makala hii kama ifuatavyo. Over Ze Weekend: Kajala mwanao Paula […]

Read More..

Alikiba Awapa Neno Mashabiki

Post Image

Msanii Alikiba ambaye sasa anatamba na ngoma yake mpya ‘Seduce me’ amefunguka na kuwapa neno la pongezi mashabiki zake baada ya kuiwezesha ngoma yake hiyo mpya kufikisha watazamaji zaidi ya milioni nne ndani ya siku 10. Alikiba ametumia ukurasa wake wa Instagram kuwashakuru mashabiki zake na kuendelea kuifanya ngoma hiyo kushika nafasi ya kwanza katika […]

Read More..

Soma Magazeti ya Leo September, 4

Post Image

  Chanzo:millardayo.com

Read More..

Nawaonea Huruma Kizazi cha Sasa – Fid Q

Post Image

Msanii mkubwa wa hip hop bongo Fareed Kubanda maarufu kama Fid Q, amesema anasikitishwa na hatama ya maisha ya kizazi cha sasa, kwani kimeharibiwa kwa kiasi kikubwa na mitandao. Akizungumza kwenye kipindi cha Bongo Fleva Top 20 cha kinachorshwa na East Africa Radio, Fid Q amesema kizazi cha sasa hakina muda kabisa wa kujisomea vitabu […]

Read More..