Daily Archives: September 5, 2017

Lady Jaydee Kumwaga Mipesa

Post Image

Mwanamuziki mkongwe Lady Jaydee ameamua kumwaga fedha kwa mashabiki kupitia mitandao ya kijamii kwa kuanzisha shindano ambapo washindi watatu watakao weza kujibu kwa ufasaha maswali matatu atayatoa kwenye mitandao hiyo watalamba jumla ya milioni 2. Lady Jaydee amesema katika mashindano hayo mshindi wa kwanza atajipatia milioni moja huku mshindi wa pili akipata laki saba na […]

Read More..

Hashim Rungwe Ashikiliwa Polisi

Post Image

Dar es Salaam. Aliyekuwa mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Hashim Rungwe anashikiliwa na polisi kwa siku nne sasa. Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Chaumma anashikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Kanda Maalumu ya Dar es Salaam. Mwanasiasa huyo anashikiliwa akituhumiwa kughushi nyaraka. Kamanda wa Polisi wa kanda hiyo, Lazaro […]

Read More..

Masogange: Najuta Kuwa Staa

Post Image

VIDEO queen mwenye umbo tata Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa, hakuna jambo analolijutia kama kuwa staa. Masogange aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, alipokuwa hajulikani alikuwa akifanya vitu vyake kwa uhuru bila kutazamwa na mtu yeyote tofauti na sasa. “Unajua mtu anaweza kusema ukiwa na jina unakuwa furaha sana, lakini si kweli kabisa, kuna wakati najuta huwa nakosa uhuru wa […]

Read More..

Shilole Afungukia Watoto Wake Kuimba

Post Image

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, amesema watoto wake hawana mpango wa kurithi kipaji chake cha uimbaji. Akizungumza na MTANZANIA, Shilole alisema amekuwa akiwalea watoto wake katika maadili mazuri na kuhakikisha wanapata elimu ambayo itawasaidia baadaye. “Hakuna mtoto ambaye ameonyesha mwelekeo wa kurithi kipaji changu, wote kila mmoja amejiwekea malengo yake, yupo […]

Read More..

Polisi wafukua kaburi la dereva wa bodaboda

Post Image

Moshi. Mwili wa dereva wa bodaboda, Juma Hamis (26) umefukuliwa na polisi kwa ajili ya uchunguzi kubaini chanzo cha kifo chake. Hamis aliyekuwa mkazi wa Boma Mbuzi alizikwa katika makaburi ya Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Kufukuliwa kwa mwili huo kunatokana na amri iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi. Hamis alifariki dunia Julai 28 […]

Read More..

Mastaa Tunajimaliza Wenyewe- Johari

Post Image

BLANDINA Chagula ‘Johari’ amefunguka kwa kuwachana waigizaji wezake nyota kuwa wanajisahau na kushindwa kuhamasisha wadau kuipa thamani kazi yao ya filamu na kuwa watu wa kutumika tu katika shughuli ambazo hazielezei fani yao na kuwa gumzo kwa jamii. Akiongea na FC Johari amesema ameshangazwa na wasanii nyota kuwa nyuma katika shunguli ambazo ni kwa ajili […]

Read More..