Daily Archives: September 6, 2017

Fid Q ataja sababu ya wana hip hop kufeli

Post Image

Mkali wa muziki wa hip hop Bongo, Fid Q ametaja sababu ya wana hip hop kufeli katika kufikisha ujumbe kwa jamii. Rapper huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Fresh’ ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa wana hip hop wengi wanafanya muziki kwa ajili ya wenzao na siyo jamii. “Wana hip hop wanafeli […]

Read More..

VIDEO: Wema Afungukia Ishu Yake na Mbowe

Post Image

Malkia wa filamu bongo, Wema Sepetu amekanusha kuwa na mahusiano na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe ambaye miezi michache iliyopita alihusishwa kutoka naye baada ya sauti zinazodhaniwa kuwa za kwao  kusambaa mitandaoni. Wema amesema kuwa katu hajawahi kuwa na mahusiano na kiongozi huyo wa upinzani kwani ni mtu ambaye anamuheshimu sana na kuongeza kwamba sauti hizo […]

Read More..

Mwigizaji wa TMT Aula Rwanda

Post Image

MWIGIZAJI chipukizi Shiraz Ngasa aliyeibuliwa na shindano la kusaka vipaji vya filamu kupitia Tanzania Movie Talent (TMT) amefanikiwa kuigiza filamu kubwa nchini Rwanda kama muigizaji kinara na kufanya vizuri kwa kumwagiwa sifa lukuki kulingana na kipaji alichoonyesha. “Rwanda wamejipanga katika ujio wao wa utengenezaji filamu haikuwa rahisi kupata nafasi ya kuigiza katika filamu ya Seeds […]

Read More..

Natamani Nimpate Mtoto Hata Sasa – We...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu amefunguka na kusema ameanza muda mrefu kutafuta mtoto lakini hajabahatika kumpata na kudai kuwa anatamani sana kupata mtoto hata sasa na kudai hajakata tamaa.   Wema Sepetu alisema hayo kupitia kipindi cha NIRVANA ambapo alikuwa akupiga stori na mtangazaji Deogratius Kithama wakati wa uzinguzi wa filamu ya diva huyo […]

Read More..

Magazeti ya Leo September 6

Post Image

  Chanzo: millardayo.com

Read More..

Wakubwa sunna – Dogo Janja

Post Image

Msanii Dogo Janja ambaye hivi karibuni amekumbwa na tuhuma za kuwa na mahusiano ya kimapenzi na muigizaji wa filamu bongo aliyemzidi umri Irene uwoya, na kuweka wazi sababu za kuweza kufanya hivyo. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Dogo Janja amesema kuwa na mahusiano na wanawake waliomzidi umri kwanza ni sunna kwa imani […]

Read More..