Daily Archives: September 7, 2017

Mchawi wa Bongo Movie ni Sisi Wenyewe – S...

Post Image

NI uwezo wake wa kufanya kweli awapo mbele ya kamera, ndiyo umempa jina na umaarufu mkubwa kunako kiwanda cha kuzalisha filamu za Kibongo. Ni binti mdogo sana kwa uhalisia wa umri, ingawa mwili wake unatoa ishara za kuanza kuingia kwenye ngome ya wahenga. Wengi wanamtambua kwa jila na Chausiku, lakini wazazi wake walimpa jina la […]

Read More..

Sasa ni Ben Pol vs Ramadee

Post Image

Hatimaye msanii Ben Pol ameamua kumaliza utata uliopo kwa mashabiki kwamba kati yake na Rama Dee nani bingwa wa minyoosho kwenye R&B kwa kuamua kufanya naye collabo. Ben Pol ambaye ameachia album yake yenye kazi zake bora ‘The Best of Ben Pol’, amemvuta Rama Dee kwenye remix ya ‘Pete’, na kukuachia wewe msikilizaji uamue nani kaifanya […]

Read More..

Ney wa Mitego: Diamond, Kiba Hawanitishi

Post Image

MKALI wa muziki wa hip hop Tanzania, Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’, amesema hazimwi na bifu la Dimoand na Ali Kiba, huku akiweka wazi kuwa yeye hana mpinzani hapa nchini katika aina ya muziki anaoufanya. Akizungumza jana alipotembelea ofisi za Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Rai na Dimba, Ney […]

Read More..

Rais Magufuli atoa tamko tukio la Lissu

Post Image

Rais John Magufuli amesikitishwa na taarifa alizozipata tukio la kupigwa kwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akiwa nyumbani kwake Dodoma leo na kuviagiza vyombo vya dola viwasake waliyofanya uhalifu huo. Rais Magufuli amesema hayo kupitia ukurasa wake wa twitter jioni ya leo na kutaka vyombo vya usalama kuwatafuta watu waliofanya tukio hilo […]

Read More..

Faiza: Sugu Akihitaji Mtoto, Namzalia!

Post Image

MREMBO Faiza Ally ambaye aliwahi ‘kubanjuka’ penzini na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, ametoa kali ya aina yake kwa kusema, yupo tayari kumzalia mbunge huyo ambaye walishaachana miaka kibao iliyopita. Kabla ya kumwagana na Sugu, mrembo huyo alifanikiwa kuzaa na mbunge huyo mtoto mmoja kisha kila mmoja akashika maisha yake. Sugu kwa sasa […]

Read More..

Magufuli ataka waliotajwa sakata la tanzani...

Post Image

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amewataka wateule wake wote waliotajwa katika ripoti za kamati zilizotathmini mfumo wa uchimbaji, usimamizi, umiliki na udhibiti wa madini ya tanzanite na almasi kukaa pembeni kupisha vyombo vya ulinzi na usalama kufanya kazi zake. Rais Magufuli amesema hayo leo Septemba 7, Ikulu jijini Dar es Salaam, baada ya kupokea […]

Read More..